LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA MZUNGUKO WA 6. FA YETU MAALUM IMEREJEA!
Chagua machaguo 4 kutoka kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya au mechi za Ligi ya Yuropa (Kwa alama zisizopungua 1.5)
Kama mkeka wakowa mechi nne ukishinda, pata ongezeko la asilimia 20% zaidi kwenye ushindi wako mpaka 55,000 TSH
Ongezeko la alama linaweza kupatikana mara moja kwa siku (10th Desemba until 12th Desemba)
Furahia ofa hii mara nyingine tena!
|
VIGEZO NA MASHARTI
- Promosheni hii ni halali kuanzia saa 4.00 asubuhi siku ya 10 mwezi Desemba mpaka saa 3.00 usiku tarehe 12 mwezi Desemba
- Ofa hii haipatikani kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote
- Ili kushiriki promosheni hii, ni lazima mchezaji aweke bashiri halali (kama ilivyoainishwa hapa chini) wakati wa kipindi cha Promosheni:
- 1. Kwa kila chaguo Alama lazima zianzie 1.5 na kuendelea
- 2. Kiwango cha chini cha kubashiria 1,200 TSH/Kiwango cha juu cha kulipa 55,000 TSH
- 3. Bashiri zitakazofanyika kwenye mechi za Ligi ya mabingwa barani ulaya na Ligi ya Yuropa pekee ndizo zitakazohesabiwa katika promosheni hii
- 4. Machaguo yoyote yatakayoongezwa kwenye mkeka kutoka katika Michezo au Ligi nyingine yatauengua mkeka kwenye promosheni hii.
- 5. Bashiri zitakazofanyika wa kutumiafedha za bonasi hazitahesabika katika promosheni hii
- 6. Bonasi moja pekee kwa mteja mmoja kwa siku
- Tunayo haki, kwa hiari yetu wenyewe, kuwatenga wateja fulani ikiwa tutabaini njama au ubadhilifu wa ofa