Cash Days Tournament Cash Days Tournament

Pata Bonasi ya Kipekee ya michezo ya Vegas unapoweka pesa kwenye akaunti yako! Ni rahisi, weka 117,500 TSH au zaidi, na utapokea Bonasi ya bure 117,500 TSH utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine! Tumia Bonasi yako kucheza kwenye mchezo wowote wa slots, kwa masharti ya kuzungusha mara 20.

Step 2
TOKA KWENYE AKAUNTI NA UINGIE TENA
Slots
Step 3
Start Playing
Money Bag

Pata Bonasi ya michezo ya Vegas ya kipekee unapoweka pesa kwenye akaunti yako. Kupata Bonasi yako ya bure, ni rahisi, weka pesa kwenye akaunti yako angalau 117,500 TSH – haina haja ya kuitumia! Unapofanikiwa kuweka pesa kwenye akaunti yako, Bonasi yako ya Bure ya 117,500 TSH itakuwepo kwenye akaunti yako utakapotoka na kuingia tena kwenye akaunti yako!

Kupata Bonasi yako ya Bure baada ya kuweka pesa, utatakiwa kutoka kwenye akaunti yako na kuingia tena. Unaweza kutumia Bonasi yako ya Bure kwenye mchezo wowote wa slots au michezo ya keno games, kwa masharti ya kuzungusha angalau mara 20 (wagering requirements) kabla ya kuweza kutoa pesa, na utakapopata bonasi yako utakua na siku 7 za kuitumia. Lakini fanya upesi – hii ni ofa ya muda mfupi ambayo inapatikana tarehe ambayo imetajwa kwenye meseji yako ya ofa ya kipekee!

Jinsi ya Kupata Bonasi yako ya Kipekee ya michezo ya Vegas:

 • Ingia kwenye akaunti yako
 • Nenda kwenye ukurasa wa kuweka pesa.
 • Weka pesa kuanzia 117,500 TSH au zaidi.
 • Toka kwenye akaunti yako kisha ingia tena. Bonasi yako ya bure ya 117,500 TSH itakua kwenye akaunti yako.
 • Baada ya hapo unaweza kuanza kucheza mchezo wako pendwa wowote wa Vegas (isipokua michezo ya Booming na Playson), ikiwemo na michezo hii maarufu ya slots:
 • Bonasi haiwezi kutumika kwenye slots za michezo ya Booming au Playson.

Play any game!

MUDA WA PROMOSHENI
 • Utahitajika kuchukua Bonasi ya Virtual Deposit ya 100% ndani ya siku iliyotajwa kwenye meseji yako ya ofa.
 • Pesa zote zilizowekwa nje ya muda wa promosheni uliyotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii ya bonasi.
 • Ofa hii inapatikana kwa wachezaji waliopokea meseji (SMS) au email kuhusiana na ofa hii.
 • This offer excludes any deposit made by Tigo or Vodacom.
 • Ni lazima uweke pesa angalau 117,500 TSH.
 • onasi yako itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako baada ya kufanikiwa kuweka pesa ndani ya muda wa promosheni. Kila mchezaji aliepokea meseji ya ofa ya kipekee anastahili kupokea ofa ya Kipekee ya Bonasi ya 100% ya michezo ya Vegas ya 117,500 TSH.
 • . Kiwango cha bonasi na pesa uliyoweka ni lazima vizungushwe angalau mara 20 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
DEPOSITS ZITAKAZOFUZU
 • Michezo yote ya slot ina mchango wa 100% kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi (isipokua michezo ya Booming na Playson), na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 11,650 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 11,650 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 5,825,000 TSH.
 • AUna siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote kwenye Casino ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
Jumla
 • Unaweza kupata bonasi moja tu utakapoweka pesa. Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine ya bonasi au promosheni.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna hifadhi haki ya kupunguza idadi ya wachezaji watakaoshiriki, kurekebisha, kuondoa, kuwarudisha kwa kukataa promosheni yoyote kwa hiari yao, kulingana na sababu yoyote bila kutoa taarifa.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bonasi ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.