Kuweka Fedha kwa njia ya Airtel Mobile Money:

Kuweka fedha kwenye akaunti yako kupitia Airtel Mobile Money tafadhali fuatisha maelekezo hapa chini:

 1. Ingia kwenye akaunti yako
 2. Bofya KUWEKA FEDHA, ingiza kiasi cha pesa kisha bofya kwenye kitufe cha Airtel Mobile Money
 3. Utapokea bonasi yoyote hai uliyofuzu kuipokea na utahitajika kubofyakukubali bonasi yoyote hai utakayopenda kushiriki
 4. Click on PROCEED PAYMENT
 5. Bofya kwenye ENDELEA NA MALIPO
 6. Kama umeongeza namba ya simu Airtel/akaunti wakati wa usajili, namba yako itaonekana kwenye sehemu ya Namba ya Simu. Njia nyingine, unaweza kuingiza namba yako ya simu kwenye sehemu ya Namba mpya ya simu na kubonyeza KABIDHI
 7. Utatakiewa kufuata maelekezo kwenye simu yako ya mkononi ili kukamilisha muhamala

Tafadhali tambua kuwa una sekunde 70 kuingiza Namba ya siri ili kuthibitisha muhamala wako.

Kutoa Fedha kwa njia ya Airtel Mobile Money:

To withdraw via Airtel Mobile Money please follow the below instructions:

 1. Ingia kwenye akaunti yako
 2. Bofya KUTOA FEDHA
 3. Ingiza kiasi unachohitaji kutoa na bofya kwenye kitufe cha Airtel Mobile Money kilichopo kwenye menyu kuu ya Malipo
 4. Bofya KUTOA FEDHA, kisha ENDELEA NA MALIPO

Ombi lako la kutoa fedha linatekelezwa maramoja na utakuwa na uwezo wa kuona muhamala uliofanikiwa kukamilika kupitia ukurasa wa My Profile/Financial page

Tafadhali tambua kuwa ili uweze kutoa pesa kwa njia ya Airtel Mobile Money ni lazima uwe uliweka fedha kwa njia ya Airtel.