Bashiri Kwa TZS 5000 kwenye fainali za AFCON na upate tiketi ya bure ya kubashiri (Free Bet) ya TZS 5000

Senegal anacheza na Algeria kwenye fainali za AFCON 2019 Ijumaa Usiku. Kombe litaangukia Afrika magharibi au Afrika Kaskazini?

Hatua ya Kwanza: Bashiri TZS 5000 (Au zaidi) kwenye mechi ya Senegal v Algeria kwa alama zisizopungua 1.50
Hatua ya pili: Pata tiketi ya bure ya 5000 TZS papo hapo
Hatua ya tatu: Fuata maelekezo chini jinsi ya kutumia tiketi yako ya bure ya 5000 TSH
BASHIRI SASA
Jinsi ya kutumia tiketi yangu ya bure?
  • Hatua ya kwanza: Bofya "Tiketi ya bure" kwenye mkeka wako

Free Bet Sportsbook

  • Hatua ya pili: Chagua tiketi ya bure unayotaka kutumia

Free Bet Sportsbook

  • Hatua ya tatu: Nenda kwenye mchezo wowote au machaguo unayotaka kubashiria
  • Hatua ya nne: Fanya uchaguzi wako
  • Hatua ya tano: Kwenye mkeka, weka bashiri yako (kiasi cha dau kitajumuishwa moja kwa moja na thamani ya tiketi ya bure)

Free Bet Sportsbook

Kitu kingine nachohitaji kujua?

Promosheni hii inaanzia saa 18 Julai 12:00 mpaka mwanzo wa mchezo wa mwisho tarehe 19 Julai.
Ofa hii haipatikani kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote.
Ili mkushiriki kwenye promosheni hii, mchezaji ni lazima aweke bashiri halali (kama ilivyoainishwa hapa chini) wakati wa kipindi cha promosheni.

  • 1. Bashiria angalau 5000 TZS
  • 2. Kwa Alama za kuanzia 1.50 au zaidi
  • 3. Bashiri ambayo itakubalika na itapata promosheni hii ni ile itakayowekwa kabla ya mechi hii haijaanza
  • 4. Machaguo yoyote kutoka kwenye michezo na Ligi nyingine yatakayoongezwa kwenye mkeka yatabatilisha promosheni hii
  • 5. Bashiri zitakazo wekwa kwa kutumia fedha za bonasi hazita hesabiwa kwenye promosheni hii
  • 6. Tiketi moja ya bure kwa mtu

Tiketi ya bure itazawadiwa baada ya uthibitishaji wa bashiri.
Tiketi ya bure itakuwa halali kwa siku 7 baada ya kuipokea.
Tiketi ya bure inaweza kutumia kwenye ubashiri wa michezo pekee.
Tiketi ya bure inaweza kuonekana kwenye kipengele cha mkeka katika akaunti ya wateja wanaostahili.
Tunayo haki, kwa hiari yetu wenyewe,kuwaondoa wateja binafsi kwenye bonasi kama tutabaini njama au ubadhilifu wa ofa.