UEL/UCL Football Bet & Get UEL/UCL Football Bet & Get

Pata bashiri ya bure siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili! Weka bashiri ya angalau 2,350 TSH kwenye mechi yoyote ya mpira wa miguu kila siku ikiwa na angalau machaguo 4 (alama ya chini 1.50 kwa kila chaguo) na utapata bashiri ya bure ya 2,350 TSH!

Step 1
Nenda kwenye mpira wa miguu
Sports
Step 2
Weka bashiri yako
Champions League
Step 3
Pata bashiri ya bure!
Money Bag

Ni mwisho wa wiki na ni muda wa kusheherekea na Bashiri za Bure! Weka bashiri kwenye mpira wa miguu mwisho wa wiki hii na tutakuzawadia Bashiri ya Bure kila siku – Ijumaa, Jumamosi na Jumapili! Kila siku unaweza kudai Bashiri yako ya Bure kwa kuweka machaguo 4+ kwenye mkeka wako. Ni rahisi, nenda kwenye mpira wa miguu, weka bashiri yako, na mechi ya mwisho kwenye mkeka wako inapokamilika utapata Bashiri yako ya Bure ya 2,350!

Ofa ya mwisho wa wiki ya Bashiri & Upate itakua wazi kwa Ijumaa ya tarehe 30 april, Jumamosi ya tarehe 1 & Jumapili ya tarehe 2 May.

Weka bashiri ya angalau 2,350 TSH kwenye mechi yoyote ya mpira wa miguu ikiwa na angalau machaguo 4, kwa alama ya chini angalau 1.50 kwa kila chaguo, na utapata Bashiri ya Bure ya 2,350 TSH – Ikiwa ni Bashiri ya Bure moja ya kudai kila siku kwa siku 3!

Tafadhali kumbuka kwamba kama utaweka machaguo Zaidi ya 4, machaguo yote ya ziada ni lazima yawe na alama ya chini ya angalau 1.50 ili kuzawadiwa Bashiri ya Bure.

BASHIRI SASA
Muda wa Promosheni
  • Unaweza dai/pata Bashiri ya Bure moja siku ya Ijumaa tarehe 30 April, Jumamosi tarehe 1 & Jumapili tarehe 2 May kuanzia saa 00:00 hadi 23:59.
  • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
BASHIRI ZITAKAZOFUZU
  • Dau la chini kufuzu kupata Bashiri ya Bure ni 2,350 TSH.
  • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
  • Mkeka lazima uwe na machaguo angalau 4 kufuzu.
  • Alama ya chini angalau 1.50 kwa kila chaguo. Kama machaguo yatawekwa Zaidi ya 4, machaguo yote ya ziada lazima yawe na alama ya chini ya angalau 1.50 ili bashiri ifuzu kupata Bashiri ya Bure.
  • Bashiri zote lazima ziwekwe kwenye mechi za mpira wa miguu tu, kwenye soko lolote.
  • Wachezaji wanaweza kufuzu kupata bashiri moja tu kila siku (Ijumaa, Jumamosi & Jumapili) ndani ya muda wa Promosheni. Mechi ambazo zitakamilika siku ya Promosheni tu ndizo zitakazofuzu kupokea Bashiri ya Bure, Bashiri zozote ambazo zitawekwa kwenye mechi ambazo hazitokamilika ndani ya siku ya Promosheni hazitofuzu.
  • Bashiri ya bure itawekwa ndani ya masaa 72 baada ya mkeka uliofuzu kukamilika.
  • Bashiri ya Bure itatolewa bila kujali kama bashiri ya mechi imeshinda au imepoteza.
  • Bashiri zitakazoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika.
Bashiri ya Bure
  • Kiasi cha Bashiri ya Bure kitakua ni 2,350 TSH.
  • Bashiri ya Bure itaonekana kwenye kipengele cha mikeka (betslip) katika akaunti yako
  • Bashiri ya bure haina alama ya chini, na inaweza kutumika katika tukio lolote la mchezo.
  • Bashiri ya Bure inapatikana kwa kuingia kwenye akaunti yako na itumike ndani ya siku 14 kuanzia siku uliozawadiwa.
  • Bashiri za bure haziwezi kuwekwa kwenye masoko yoyote ya wazi au boost.
  • Bashiri zozote za Bure ambazo hazitotumika ndani ya muda huu hazitoweza kurudishwa.
  • Ushindi wowote utakaopatikana na Bashiri ya Bure utalipwa tofauti na dau. Kama umeweka chaguo lenye alama ya 3.0 kwa Bashiri ya Bure ya 2,350 TSH jumla ya ushindi wako utakua 4,700 TSH.
  • Bashiri za Bure haziwezi kutolewa kama pesa.
  • Bashiri za bure lazima zitumike mara moja, yote kwa pamoja.
  • Bashiri za bure haziwezi kufanyiwa cash out.
  • Kwa maelezo Zaidi ya jinsi ya kutumia Bashiri ya Bure nenda kwenye JINSI YA KUTUMIA BASHIRI YAKO YA BURE.
JUMLA
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.