1. Muhimu
  • Iwapo kuna kucheleweshwa kwa aina yoyote (mvua, giza...) chaguzi zote zitabaki na kuendelea pindi mechi inaporejelewa..
  • Chaguzi hazizingatii muda wa ziada isipokuwa inapoelezwa vinginevyo.
 2. Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji
  • Iwapo chaguzi zitasalia wazi zikiwa na matokeo yenye makosa ambayo yanaathiri kiwango cha ushindi, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets.
  • Iwapo odds zilitolewa zikiwa na makosa ya wakati wa mechi (zaidi ya sekunde 89), tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo matokeo yasiyo sahihi yataonyeshwa, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets kwa kipindi hiki cha wakati.
  • Iwapo timu zitaonyeshwa visivyo, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets.
  • Katika hali ambapo mechi zimesitishwa au kuahirishwa, chaguzi zitachukuliwa kuwa batili isipokuwa pale ambapo mechi inaendelea katika ratiba ileile ya NFL ya wiki.
KANUNI ZA MCHEZO WA AMERICAN FOOTBALL - JINA LA CHAGUZI
JINA LA CHAGUZI MAELEZO YA CHAGUZI
2 way (pamoja na muda wa nyongeza) Nyumbani; Ugenini
Jumla (Pamoja na muda wa nyongeza) x.5 pekee
Handicap (muda wa nyongeza ukijumlishwa) x.5 pekee
3way Nyumbani; Sare; Ugenini
Sare Hakuna Bet Ikiwa mechi itaisha sare baada ya muda wa kawaida, bet zote zitabatilishwa
Uwezekano maradufu (1X - 12 - X2) Nyumbani au sare; nyumbani au ugenini; sare au ugenini
Tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa (muda wa nyongeza ukijumlishwa) Matokeo chanya yanazingatia ushindi wa timu ya nyumbani na hasi ushindi wa timu ya ugenini <-13,-13 hadi -7,-6 hadi -1,0,1 hadi 6,7 hadi 13,>13
Timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? (Pamoja na muda wa nyongeza) X katika 5, 10, 15, ....
Jumla tyimu ya nyumbani (Muda wa nyongeza ukijumlishwa) x.5 pekee
Jumla timu ya ugenini (Muda wa nyongeza ukijumlishwa) x.5 pekee
Witiri/Shufwa (Pamoja na muda wa nyongeza) Witiri/Shufwa
Pointi zinazofuata (timu)(muda wa nyongeza ukijumlishwa) Nyumbani; Hakuna pointi; Ugenini
Pointi zinazofuata (aina)(muda wa nyongeza ukijumlishwa) Touchdown, Fieldgoal, Safety, Hamna
Je, kutakuwa na muda wa nyongeza? Ndiyo; La
Kipindi chenye Mabao mengi zaidi Ya kwanza, ya pili, lingana
Kipindi cha kwanza/Muda kamili D/D; D/H; D/A; H/D; H/H; H/A; A/D; A/H; A/A
Kipindi 1 - 3 Way Nyumbani; Sare; Ugenini
Kipindi 1 - Handicap x.5 pekee
Kipindi 1 - Jumla x.5 pekee
Kipindi 1 - Sare Hakuna Bet Ikiwa mechi itaisha sare baada ya kipindi 1, bet zote zitabatilishwa
kipindi 1 - Jumla timu ya nyumbani x.5 pekee
Kipindi 1 - Jumla timu ya ugenini x.5 pekee
Kipindi 1 - Witiri/Shufwa Witiri/Shufwa
Kipindi 1 - Pointi zinazofuata (timu) Nyumbani; Hakuna pointi; Ugenini
Kipindi kilicho na Alama za juu Kipindi 1, 2, 3, 4, Lingana
Awamu 1 - 3 Way Nyumbani; Sare; Ugenini
Awamu 2 - 3 Way Nyumbani; Sare; Ugenini
Awamu 3 - 3 Way Nyumbani; Sare; Ugenini
Awamu 4 - 3 Way Nyumbani; Sare; Ugenini
Awamu 1 - Jumla x.5 pekee
Awamu 2 - Jumla x.5 pekee
Awamu 3 - Jumla x.5 pekee
Awamu 4 - Jumla x.5 pekee