- Muhimu
- Katika hali ambapo mechi haikukamilika, chaguzi zote ambazo hazijaamuliwa zitachukuliwa kuwa batili.
- Seti ya dhahabu haizingatiwi kwenye chaguzi zozote.
- Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji
- Iwapo mechi itakatizwa au kuaihirishwa na haiendelei ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza, uwekaji wa bets utabatilishwa.
- Iwapo chaguzi zitasalia wazi zikiwa na matokeo yenye makosa ambayo yanaathiri kiwango cha ushindi, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets.
- Iwapo timu itajiondoa, chaguzi zote ambazo hazijaamuliwa zitachukuliwa kuwa batili.
KANUNI ZA MPIRA WA VOLIBOLI YA UFUONI - JINA LA CHAGUZI | |
---|---|
JINA LA CHAGUZI | MAELEZO YA CHAGUZI |
2way | Nyumbani; Ugenini |
Timu gani itashinda seti? | Nyumbani; Ugenini |
Handicap ya Ki Asia (handicaps *.5 pekee) | Chaguzi za handicap *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...) |
Seti 1 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) | Chaguzi za handicap kwa seti 1 *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...) |
Seti 2 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) | Chaguzi za handicap kwa seti 2 *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...) |
Seti 3 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) | Chaguzi za handicap kwa seti 3 *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...) |
Seti 1 - Timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? | a. X katika 5, 10, 15 b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza? |
Seti 2 - Timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? | a. X katika 5, 10, 15 b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza? |
Seti 3 - Timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? | a. X katika 5, 10 b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza? |
Seti 1 - Nani atapata pointi ya X? | a. X katika 5, 10, 15, 20, 25, ...
b. Timu gani itapata pointi ya X katika seti 1 c. Iwapo seti itaisha kabla ya pointi X kufikiwa, chaguzi hii (itabatilishwa) |
Seti 2 - Nani atapata pointi ya X? | a. X katika 5, 10, 15, 20, 25, ...
b. Timu gani itapata pointi ya X katika seti 2 c. Iwapo seti itaisha kabla ya pointi X kufikiwa, chaguzi hii (itabatilishwa) |
Seti 3 - Nani atapata pointi ya X? | a. X katika 5, 10, 15, 20
b. Timu gani itapata pointi ya X katika seti 3 c. Iwapo seti itaisha kabla ya pointi X kufikiwa, chaguzi hii (itabatilishwa) |
Matokeo ya mwisho (kwa seti - kati ya 3 ) | 2:0, 2:1, 1:2 na 0:2 |
Idadi ya seti (kati ya 3) | 2 au 3 |
Jumla | Juu ya; Chini ya |
Seti 1 - Jumla | Pointi katika seti 1 pekee zitazingatiwa |
Seti 2 - Jumla | Pointi katika seti 2 pekee zitazingatiwa |
Seti 3 - Jumla | Pointi katika seti 3 pekee zitazingatiwa |
Seti 1 - Witiri/Shufwa | Pointi katika seti 1 pekee zitazingatiwa |
Seti 2 - Witiri/Shufwa | Pointi katika seti 2 pekee zitazingatiwa |
Seti 3 - Witiri/Shufwa | Pointi katika seti 3 pekee zitazingatiwa |
Seti ngapi zitapitisha kiwango cha alama kilichowekwa? | Ni katika seti ngapi ambapo angalau timu moja itapitisha kiwango cha pointi 21 (15 katika seti3) |