1. Muhimu
  • Chaguzi zote(isipokuwa zinazohusha kipindi cha mapumziko, kipindi cha kwanza, muda wa ziada, na penalti) zinaangaziwa katika muda wa kawaida pekee.
  • Iwapo mechi itakatizwa na kuendelea ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali wa kuanza, bets zote zilizo wazi zitaamuliwa kwa kuzingatia matokeo ya mwisho. Vinginevyo, bets zote ambazo hazijaamuliwa zinachukuliwa kuwa batili.
 2. Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji
  • Iwapo chaguzi zitasalia wazi baada ya matukio haya: mabao, kadi ya manjano au nyekundu na penalti, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo chaguzi ilifunguliwa na kadi nyekundu kimakosa, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo odds zilitolewa zikiwa na makosa ya wakati mechi inachezwa (kwa zaidi ya dakika 2), tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo matokeo yenye makosa yatawekwa, chaguzi zote zitabatilishwa kwa kipindi ambapo matokeo yenye makosa yatakuwa yakionyeshwa.
  • Iwapo mechi itakatizwa au kuaihirishwa na haiendelei ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza, uwekaji wa bets utabatilishwa.
  • Iwapo jina la timu au kategoria imeonyeshwa visivyo, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
KANUNI ZA FUTSAL - JINA LA CHAGUZI
JINA LA CHAGUZI MAELEZO YA CHAGUZI
3way Timu gani itashinda mechi (1-X-2) ya Nyumbani; Sare; ya Ugenini
Jumla (jumla ya *.5 pekee) K.m. 0.5, 1.5, 2.5, 3.5, ...
Handicap Handicaps za Uropa (k.m. Handicap 0:2, Handicap 5:0, ...) 1-X-2
Timu zote kufunga bao? Bao/Hakuna Bao; (ndiyo;la)
Witiri/Shufwa Mabao Witiri/Shufwa
Handicap za Ki Asia Jumla baada ya robo ya mechi na mwisho wa mechi (k.m. 2.00, 2.25, 2.75, ...)