1. Muhimu
  • Chaguzi zote (isipokuwa kipindi cha mapumziko, kipindi cha kwanza, nani atafunga alama ya X na timu ipi itafikisha alama X mbele) zinazingatiwa katika muda rasmi pekee.
  • Iwapo mechi itaelekea kwa urushaji kutoka mita 7, chaguzi “nani atafunga alama X?” na “Timu ipi itafikisha alama X mbele?” zitabatilishwa.
  • Chaguzi hazizingatii muda wa ziada isipokuwa inapoelezwa vinginevyo.
 2. Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji
  • Iwapo mechi itakatizwa au kuaihirishwa na haiendelei ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza, uwekaji wa bets utabatilishwa.
  • Iwapo odds zilitolewa zikiwa na makosa ya wakati mechi inachezwa (kwa zaidi ya dakika 3), tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo chaguzi zitasalia wazi zikiwa na matokeo yenye makosa ambayo yanaathiri kiwango cha ushindi, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets.
KANUNI ZA MPIRA WA MIKONO - JINA LA CHAGUZI
JINA LA CHAGUZI MAELEZO YA CHAGUZI
3way Nyumbani; Sare; Ugenini
Handicap Handicaps za Uropa (k.m. Handicap 0:2, Handicap 5:0, ...)
Jumla Pointi za muda wa kawaida pekee zitazingatiwa
3 Way - kipindi 1 Timu gani itashinda kipindi 1?
Kipindi 1 -Handicap Handicap za Uropa ya kipindi 1 (k.m. Handicap 0:1, Handicap 1:0, ...)
Kipindi 1 - Jumla ( jumla *.5 pekee) Bao zinazofungwa katika kipindi cha kwanza pekee
Handicap ya Ki Asia (handicaps *.5 pekee) Chaguzi za handicap *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...)
Kipindi 1 - Handicap ya Ki Asia (handicaps *.5 pekee) Chaguzi za Handicap ya Ki Asia ya kipindi 1 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...)
Nani atapata pointi ya X? (Pamoja na muda wa nyongeza) a. X katika 10, 15, 20, 25, ...

b. Timu gani itapata pointi ya X kwenye mechi

c. Iwapo mechi itaisha kabla ya pointi X kufikiwa, chaguzi hii (itabatilishwa)

Timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi X? (Pamoja na muda wa nyongeza) a. X katika 10, 20, 30, 40, ...

Timu gani itapitisha kiwango cha mabao X kwanza? (k.m. Mabao kwa sasa 20-19, kisha timu ya nyumbani inashinda mchuanokwa mabao 20)

c. Iwapo mechi itaisha kabla ya timu yoyote kufikia mabao X, chaguzi hii (tabatilishwa)

Witiri/Shufwa Mabao Witiri/Shufwa
Kipindi 1 - Witiri/Shufwa Mabao yanayofungwa katika kipindi cha kwanza pekee yanazingatiwa
Ushindi utokanao na tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa Timu itashinda katika safu ya mabao ngapi? (k.m. Safu ya ushindi wa mapumziko >10, 9-5, 4-1, 0, safu ya ushindi mwishoni 1-4, 5-10, >10)