1. Muhimu
  • Chaguzi zote (isipokuwa kipindi, muda wa ziada na chaguzi za upigaji penalti) zinazingatiwa katika muda rasmi wa kawaida isipokuwa inapoelezwa vingine kwenye chaguzi husika.
  • Iwapo mechi itakatizwa na kuendelea ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza,bets zote zilizo wazi zitaamuliwa kuambatana na matokeo ya mwisho. Vinginevyo, bets zote ambazo hazijaamuliwa zinachukuliwa kuwa batili.
 2. Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji
  • Iwapo chaguzi zitasalia wazi baada ya matukio haya kutokea: mabao na penalti, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets.
  • Iwapo odds zilitolewa zikiwa na makosa ya wakati mechi inachezwa (kwa zaidi ya dakika 2), tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo matokeo yasiyo sahihi yatatolewa, chaguzi zote kwa muda ambao matokeo hayo yalionyeshwa zitabatilishwa .
  • Iwapo mechi ilikatizwa au kuahirishwa na haijaendelea ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza, uwekaji bets utabatilishwa.
KANUNI ZA MPIRA WA MAGONGO WA BARAFU - JINA LA CHAGUZI
JINA LA CHAGUZI MAELEZO YA CHAGUZI
3way Nyumbani; Sare; Ugenini
Jumla Pointi za muda wa kawaida pekee zitazingatiwa
Handicap Handicaps za Uropa (k.m. Handicap 0:1, Handicap 1:0, ...)
Sare Hakuna Bet Ikiwa mechi itaisha sare baada ya muda wa kawaida, bet zote zitabatilishwa
Uwezekano maradufu (1X – 12 – X2) Nyumbani au sare; nyumbani au ugenini; sare au ugenini
Bao linalofuata Nani atafunga bao linalofuata?
Nani atashinda awamu hii? Nani atashinda awamu ya sasa?
Nani atashinda mechi kwa kipindi kilichosalia? Timu gani itafunga mabao katika kipindi kilichosalia?
Mabao ya timu ya nyumbani a. Mabao ngapi yatafungwa na timu ya nyumbani

b. 0, 1, 2, 3+

Mabao ya timu ya ugenini a. Mabao ngapi yatafungwa na timu ya ugenini

b. 0, 1, 2, 3+

Jumla kwa timu ya nyumbani Jumla ya idadi ya mabao kwa timu ya nyumbani katika hatua *.5
Jumla kwa timu ya ugenini Jumla ya idadi ya mabao kwa timu ya ugenini katika hatua *.5
Witiri/Shufwa Mabao witiri/Shufwa
Awamu 1 - Jumla Mabao yanayofungwa katika awamu 1 pekee yatazingatiwa
Nani atashinda sehemu iliyosalia ya awamu 1? Mabao yanayofungwa katika awamu 1 pekee yatazingatiwa
Awamu 2 - Jumla Mabao yanayofungwa katika awamu 2 pekee yatazingatiwa
Nani atashinda sehemu iliyosalia ya awamu 2? Mabao yanayofungwa katika awamu 2 pekee yatazingatiwa
Bao linalofuata (muda wa nyongeza pekee!) Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
Nani atashinda sehemu iliyosalia ya mechi (muda wa nyongeza pekee!)? Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
Timu gani itashinda mikwaju ya penalti? Mabao yanayofungwa kupitia kwa mikwaju ya penalti pekee yanazingatiwa
2 way (muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa) Mabao katika muda wa kawaida, muda wa nyongeza na mikwaju ya penalti yatazingatiwa
Matokeo sahihi yanayoweza kubadilika Matokeo 10 yamkini pekee yatatumwa
Nyumbani Hakuna Bet (sare; timu 2)
Ugenini Hakuna Bet (timu 1; sare)
Handicap za Ki Asia (timu 1; timu 2)
Ushindi utokanao na tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa (>=+3, 2, 1, 0, -1, -2, <=-3)
Jumla za Ki Asia (juu ya; chini ya)
Idadi sahihi ya mabao (0; 1; 2; 3; 4; 5; 6; 7; 8; 9+)
Timu zote zitafunga (ndiyo; La)
Timu gani itafunga? (zote mbili; timu 1 pekee; timu 2 pekee;hakuna)
Kutofungwa bao kwa timu ya nyumbani (ndiyo; La)
Kutofungwa bao kwa timu ya ugenini (ndiyo; La)
Mabao sahihi (0:0...5:5; nyingineyo)
Bet ya mechi na Jumla (Timu 1 chini ya; Sare chini ya; timu 2 chini ya; timu 1 juu ya; sare juu ya; timu 2 juu ya)
Matchbet na timu zote mbili kufunga (Timu 1 Ndiyo; timu 1 La; Sare Ndiyo; Sare La; timu 2 Ndiyo; timu 2 La)
Matchbet na bao la 1 (HH; HD; HA; AH; AD; AA; Hakuna)
Handicap, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (timu 1 ; sare; timu 2)
Handicap ya Ki Asia, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (timu 1; timu 2)
Jumla ya Ki Asia, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (timu 1; timu 2)
Jumla, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (juu ya; chini ya)
Idadi kamili ya mabao, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (1; 2; 3; 4; 5; 6; 7; 8; 9+)
Tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa, muda wa nyongeza ukijumlishwa pamoja na penalti (nyumbani 3+; nyumbani 2; nyumbani 1; sare; ugenini 1; ugenini 2; ugenini 3+)
Timu gani itafunga bao, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (Zote mbili; timu 1 pekee; timu 2 pekee;hakuna)
Kutofungwa bao kwa timu ya nyumbani, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (ndiyo; La)
Kutofungwa bao kwa timu ya ugenini, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (ndiyo; La)
Jumla timu ya nyumbani, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (juu ya; chini ya)
Jumla timu ya ugenini, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (juu ya; chini ya)
Mabao timu ya nyumbani, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (0; 1; 2; 3+)
Mabao timu ya ugenini, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (0; 1; 2; 3+)
Idadi kamili ya mabao, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (0:0, 1:1, 2:2,...5:5; nyingineyo)
Witiri/shufwa, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (Witiri; shufwa)
Matcbet na jumla, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (timu 1 chini ya; timu 2 chini ya; timu 1 juu ya; timu 2 juu ya)
Matcbet na timu zote kufunga bao, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (timu 1 Ndiyo; timu 1 La; timu 2 Ndiyo; timu 2 La)
Matcbet na timu 1 kufunga bao la kwanza, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (HH; HA; AH; AA)
Bao linalofuata, muda wa nyongeza na penalti ikijumlishwa (timu 1 ; hakuna; timu 2)
Uwezekano maradufu kwa awamu X (1X; 12; X2)
Sare Hakuna Bet kwa awamu X (timu 1; timu 2)
Handicap kwa awamu X (timu 1 ; sare; timu 2)
Handicap ya Ki Asia kwa awamu X (timu 1; timu 2)
Jumla ya Ki Asia kwa awamu X (timu 1; timu 2)
Idadi kamili ya mabao kwa awamu X (0; 1; 2; 3; 4+)
Timu zote mbili kufunga bao kwa awamu X (ndiyo; La)
Timu gani itafunga bao kwa awamu ya X (zote mbili; timu 1 pekee; timu 2 pekee;hakuna)
Kutofungwa bao kwa timu ya nyumbani kwa awamu X (ndiyo; La)
Kutofungwa bao kwa timu ya ugenini kwa awamu X (ndiyo; La)
Mabao ya timu ya nyumbani kwa awamu X (0; 1; 2; 3+)
Mabao ya timu ya ugenini kwa awamu X (0; 1; 2; 3+)
Jumla, timu ya nyumbani kwa awamu X (juu ya; chini ya)
Jumla, timu ya ugenini kwa awamu X (juu ya; chini ya)
Witiri/Shufwa kwa awamu X (Witiri; shufwa)
Mabao kamili katika awamu x (0:0,...,2:2; nyingineyo)
Bao linalofuata katika awamu X (timu 1 ; hakuna; timu 2)
Awamu 1 na Matchbet (HH; HD; HA; DH; DD; DA; AH; AD; AA)
Awamu 1 na Matchbet, muda wa nyongeza ukijumlishwa pamoja na penalti (HH; HA; DH; DA; AH; AA)
Timu ya nyumbani itashinda awamu zote? (ndiyo; la)
Timu ya ugenini kushinda awamu zote? (ndiyo; la)
Timu ya nyumbani kushinda awamu mojawapo? (ndiyo; la)
Timu ya ugenini kushinda awamu mojawapo? (ndiyo; la)
Timu ya nyumbani kufunga katika awamu zote? (ndiyo; la)
Timu ya ugenini kufunga katika awamu zote? (ndiyo; la)
Awamu zote juu ya (ndiyo; la)
Awamu zote chini ya (ndiyo; la)
Awamu ya mabao mengi (awamu 1, awamu 2, awamu 3; lingana)
Awamu ya mabao mengi kwa timu ya nyumbani (awamu 1, awamu 2, awamu 3; lingana)
Awamu ya mabao mengi kwa timu ya ugenini (awamu 1, awamu 2, awamu 3; lingana)