KANUNI ZA JUMLA  ZA SHINDANO LA MBIO ZA MAGARI

  • Bets zote zitaamuliwa kulingana na matokeo mwishoni mwa shindano, huku uwasilishaji kwenye jukwaa ukiwa matokeo rasmi kwa niaba ya uwekaji wa bets. Ubatilishaji wa baadaye au matokeo yaliyorekebishwa hayatazingatiwa.
  • Dereva yeyote ambaye hashiriki katika mzunguko wa matayarisho kabla ya shindano na ambaye haanzi shindano atachukuliwa kama asiyeshiriki na bets kwa dereva huyo zitabatilishwa.
  • Mwanzo wa shindano utachukuliwa¬† kuwa mwanzo wa mzunguko wa kujitayarisha huku dereva yeyote anayeanza kwenye ujia pia akichukuliwa kuwa mshiriki kwenye shindano.

Moja kwa Moja (Ni dereva yupi ataibuka mshindi dhidi ya mshindani aliyetajwa katika shindano).

  • Bets za moja kwa moja zitakuwa baina ya madereva wawili waliotajwa. Bets zitaamuliwa kwa kuzingatia dereva anayepata nambari ya juu zaidi kwenye shindano.
  • Iwapo madereva wote wawili hawatakamilisha shindano, dereva aliyekamilisha mizunguko mingi atachukuliwa kuwa msihindi.
  • Iwapo madereva wote watajiondoa kwenye mzunguko sawa, dereva mmoja hajaanza shindano au iwapo dereva yeyote atasimamishwa, bets zilizowekwa zitakuwa batili.
  • Iwapo kuna ubatilishaji baada ya shindano, ubatilishaji huo hautazingatiwa katika kufanya uamuzi.