1. Muhimu
  • Chaguzi zote(isipokuwa zinazohusha kipindi cha mapumziko, kipindi cha kwanza, muda wa ziada, na penalti) zinaangaziwa katika muda wa kawaida pekee.
  • Iwapo mechi itakatizwa na kuendelea ndani ya saa 48 baada ya muda ilipoanza awali, bets zote zilizo wazi zitaamuliwa kwa kuzingatia matokeo ya mwisho. Vinginevyo, bets zote ambazo hazijaamuliwa zinachukuliwa kuwa batili.
  • Muda wa kawaida wa dakika 80: Chaguzi zina msingi wake katika matokeo mwishoni mwa dakika 80 za mchezo isipokuwa pale imeelezwa vingine. Hii inajumuisha dakika za nyongeza kufidia majeraha na ikabu lakini haijumuishi muda wa ziada, muda uliotengewa upigaji penalti au  ushindi wa ghafla.
 2. Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji.
  • Iwapo chaguzi zitasalia wazi wakati ambapo matukio yafuatayo yametokea tayari: mabadiliko ya matokeo au kadi nyekundu, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets.
  • Iwapo chaguzi ilifunguliwa na kadi nyekundu kimakosa, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo odds zilitolewa zikiwa na makosa ya wakati mechi inachezwa (kwa zaidi ya dakika 2), tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
  • Iwapo mechi ilikatizwa au kuahirishwa na haijaendelea ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza, uwekaji bets utabatilishwa.
  • Iwapo jina la timu au kategoria imeonyeshwa visivyo, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bets.
KANUNI ZA MUUNGANO WA RAGA NA LIGI - JINA LA CHAGUZI
JINA LA CHAGUZI MAELEZO YA CHAGUZI
3way Nyumbani; Sare
Uwezekano Maradufu (1X – 12 – X2) Nyumbani au sare; nyumbani au ugenini; sare au ugenini
Sare hakuna Bet Nyumbani; Ugenini
Nani atashinda mechi kwa kipindi kilichosalia? Nyumbani; Sare; Ugenini
Handicap za Ki Asia x.5 pekee
Tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa (>14; 14–8; 7–1; 0; -1– -7; -8– -14;<-14)
Bet ya mechi na Jumla Uunganishaji wa 3 Way na Jumla x.5 (ushindi nyumbani na chini ya, Ushindi nyumbani na juu ya, Sare na chini, Sare na juu Ushindi ugenini na chini ya, Ushindi ugenini na juu ya)
Jumla x.5 pekee
Jumla ya tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa (<28; 28–34; 35–41; 42–48; 49–55; 56–62; >62)
Jumla kwa timu ya nyumbani x.5 pekee
Jumla kwa timu ya Ugenini x.5 pekee
Witiri/Shufwa Witiri/Shufwa
3 Way - kipindi 1 Nyumbani; Sare; Ugenini
Kipindi 1 - Uwezekano Maradufu (1X – 12 – X2) Nyumbani au sare; nyumbani au ugenini; sare au ugenini.
Kipindi 1 - Sare hakuna Bet Nyumbani; Ugenini
Kipindi - Nani atashinda sehemu ya mechi iliyosalia? Nyumbani; Sare; Ugenini
Kipindi 1 - Handicap ya Ki Asia x.5 pekee
Kipindi 1 - ushindi utokanao na tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa (>14; 14–8; 7–1; 0; -1– -7; -8– -14; <-14)
Kipindi 1 - Jumla x.5 pekee
Kipindi 1 - Jumla ya tofauti ya pointi kati ya timu inayoshinda na inayoshindwa (<7; 7–13; 14–20; 21–27; 28–34; 35–41; >41)
Kipindi 1 - Jumla timu ya nyumbani x.5 pekee
Kipindi 1 - Jumla timu ya ugenini x.5 pekee
Kipindi 1 - Witiri/Shufwa Witiri/Shufwa