1. Namna ya kucheza ligi bunifu za kandanda hutoa tajriba kamili za uwekaji bets 24/7/365 kwenye mechi bunifu za kandanda. Ligi ina timu 16 na msimu huendelea mfululizo. Kila msimu una siku 30 za kucheza (mechi za nyumbani na ugenini). Bets zinaweza kuwekwa wakati wowote - hata ndani ya msimu.
 2. Taarifa kuhusu msimu
  • Msimu mmoja una jumla ya dakika 141, zilizogawanywa katika kipindi ‘Kabla ya Ligi kuanza’, ‘Mwanya wa Kucheza’, na kipindi cha ‘Baada ya ligi kukamilika’.
  • Kipindi cha ‘Kabla ya Ligi kuanza’ hutokea mwanzoni mwa msimu na kinadumu kwa dakika 2:30.
  • Siku za kucheza zinajumuishwa kama kipindi cha ‘Mwanya wa Kucheza’ na kinadumu kwa dakika 137:30.
  • Mwishoni mwa kila msimu, kuna sekunde 60 za kipindi ‘Baada ya Ligi kukamilika.
 3. Taarifa kuhusu siku za kucheza
  • Siku moja ya kucheza inadumu kwa dakika 4:35. Inagawika katika kipindi cha: “Kabla ya Mchezo’, ‘cha kwanza’, ‘cha mapumziko’, ‘cha lala salama’, ‘Baada ya Mchezo’ na kipindi cha ‘Baada ya Siku ya Kucheza”.
  • Kipindi cha ‘Kabla ya Mchezo’ huchukua muda wa sekunde 60 kabla ya mchezo kuanza.
  • Mchezo unadumu kwa dakika 1:30 kwa kila kipindi huku kipindi cha mapumziko kikiwa sekunde 10 baina ya kipindi cha kwanza na cha pili.
  • Kila mechi inafuatiwa na sekunde 10 za kipindi cha ‘Baada ya Mchezo’ kisha sekunde 15 za kipindi cha ‘Baada ya Siku ya kucheza’.
 4. Uwekaji wa bets kwa ligi bunifu za kandanda unaruhusiwa hadi sekunde 10 kabla ya mechi kuanza. Chaguzi za bets kwa siku za kucheza za baadaye husalia wazi. Wakati siku ya kucheza ya baadaye kutoka sehemu ya “Chagua Siku ya kucheza” kwenye sehemu ya chini inachaguliwa, mechi zinazohusiana na siku husika pamoja na odds zitaonyeshwa kwenye sehemu ya odds za chini. Chaguzi zifuatazo zinazohusiana na mechi zinapatikana:
  • 3Way (nyumbani; sare; ugenini):
  • Handicap (nyumbani; sare; ugenini):
  • Bao la kwanza (nyumbani; hakuna bao; ugenini)
  • Kipindi cha kwanza 3way (nyumbani; sare; ugenini)
  • Jumla (zaidi ya, chini ya)
  • Matokeo sahihi (0:0 hadi 3:3: mengine)
 5. Ziada
  • Mechi zote zinapeperushwa moja kwa moja kupitia kwa kiungio kwenyekivinjari chako. Unaweza kubadilisha kati ya mechi nane zinazopeperushwa kwa kila siku ya kucheza au vinginevyo ukafuata mechi inayokupendeza. Hali kwenye mechi zinaundwa kutokana na mchanganyiko wa Akili bandia na programu za kuzalisha nambari kinasibu. Wakati huo huo, viwango vya uwezo wa wachezaji katika ligi bunifu ya kandanda vinategemea wachezaji halisi wa kandanda (k.m. Tukirejelea idadi ya mabao, hali ya kiafya, takwimu za mechi zilizopita, n.k)