1. Muhimu
    • Iwapo mechi haitakamilika, chaguzi zote ambazo hazijaamuliwa zinachukuliwa kuwa batili.
    • Seti ya dhahabu haizingatiwi kwenye chaguzi zozote.
  2. Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji
    • Iwapo mechi itakatizwa au kuaihirishwa na haiendelei ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza, uwekaji wa bets utabatilishwa.
    • Iwapo chaguzi zitasalia wazi zikiwa na matokeo yenye makosa ambayo yanaathiri kiwango cha ushindi, tuna haki ya kubatilisha uwekaji wa bets.
Volleyball Rules - Name of Market
Name of Market Market Description
2way Nyumbani; Ugenini
Timu gani itashinda seti? Nyumbani; Ugenini
Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) Chaguzi za handicap *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...)
Seti 1 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) Nyumbani; Ugenini
Seti 2 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) Chaguzi za handicap kwa seti 2 *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...)
Seti 3 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) Chaguzi za handicap kwa seti 3 *.5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...)
Seti 4 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) Chaguzi za Handicap kwa seti 4 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...)
Seti 5 - Handicap ya KiAsia (handicaps *.5 pekee) Chaguzi za Handicap kwa seti 5 (k.m. -2.5/+2.5, 0.5/-0.5, ...)
Seti 1 - timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? a. X katika 5, 10, 15, 20
b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza?
Seti 2 - timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? a. X katika 5, 10, 15, 20
b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza?
Seti 3 - timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? a. X katika 5, 10, 15, 20
b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza?
Seti 4 - timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? a. X katika 5, 10, 15, 20
b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza?
Seti 5 - timu gani itashinda mchuano hadi kufikia pointi za X? a. X katika 5, 10
b. Timu gani itafikia pointi X ya kwanza?
Seti 1 - Nani atapata pointi X? a. X katika 5, 10, 15, 20, 25, ...
b. Timu gani itapata poiti X katika seti 1 c. Iwapo seti itaisha kabla poiti X kufikiwa,chaguzi hii (itabatilishwa)
Seti 2 - Nani atapata pointi X? a. X katika 5, 10, 15, 20, 25, ...
b. Timu gani itapata poiti X katika seti 2 c. Iwapo seti itaisha kabla poiti X kufikiwa,chaguzi hii (itabatilishwa).
Seti 3 - Nani atapata pointi X? a. X katika 5, 10, 15, 20, 25, ...
b. Timu gani itapata poiti X katika seti 3 c. Iwapo seti itaisha kabla poiti X kufikiwa,chaguzi hii (itabatilishwa)
Seti 4 - Nani atapata pointi X? a. X katika 5, 10, 15, 20, 25, ...
b. Timu gani itapata poiti X katika seti 4 c. Iwapo seti itaisha kabla poiti X kufikiwa,chaguzi hii (itabatilishwa)
Seti 5 - Nani atapata pointi X? a. X katika 5, 10, 15, 20
b. Timu gani itapata poiti X katika seti 5 c. Iwapo seti itaisha kabla poiti X kufikiwa,chaguzi hii (itabatilishwa)
Matokeo ya Mwisho (kwa seti - kati ya 5 ) 3:0, 3:1, 3:2, 2:3, 1:3 na 0:3
Idadi ya seti (kati ya 5) 3, 4 au 5
Jumla Juu ya;Chini ya
Seti ya 1 - Jumla Pointi katika seti 1 pekee zitazingatiwa
Seti ya 2 - Jumla Pointi katika seti 2 pekee zitazingatiwa
Seti ya 3 - Jumla Pointi katika seti 3 pekee zitazingatiwa
Seti ya 4 - Jumla Pointi katika seti 4 pekee zitazingatiwa
Seti ya 5 - Jumla Pointi katika seti 5 pekee zitazingatiwa
Seti 1 - Witiri/Shufwa Pointi katika seti 1 pekee zitazingatiwa
Seti 2 - Witiri/Shufwa Pointi katika seti 2 pekee zitazingatiwa
Seti 3 - Witiri/Shufwa Pointi katika seti 3 pekee zitazingatiwa
Seti 4 - Witiri/Shufwa Pointi katika seti 4 pekee zitazingatiwa
Seti 5 - Witiri/Shufwa Pointi katika seti 5 pekee zitazingatiwa
Seti ngapi zitapitisha kiwango cha alama kilichowekwa? Ni katika seti ngapi ambapo angalau timu moja itapitisha pointi 25 (15 katika seti 5)