Cash Days Tournament Cash Days Tournament

Tuna punguzo la 50% kwenye vipengele vya manunuzi kwenye Punguzo letu kabambe. Kwenye michezo yetu mikubwa mi 4 ya slot unaweza ukatumia muda mchache kuzungusha na muda mwingi kushinda! Kipengele cha manunuzi kinatoa bonasi ya mizunguko 10 ya bure (free spins) katika kila mzunguko wa mchezo na tunakupatia punguzo la 50% kushinda kwa kiwango cha chini!

Step 1
Chagua slot yako
Casino
Step 2
Bofya kitufe cha kipengele cha kununua
Slots
Step 3
Jishindie mizunguko ya bure10!
Money Bag

Ni punguzo kabambe na tunakupatia punguzo la 50% kwenye kipengele cha manunuzi kwenye michezo yetu mikubwa mi 4 ya slot: Colossus Fruits, Story of Medusa, Irish Treasures na 4 Horsemen, ikimaanisha kwamba utatumia mda mchache kuzungusha gurudumu na muda mwingi kushinda! Kipengele cha manunuzi kinakupatia bonasi ya mizunguko 10 ya bure (free spins) katika kila mzunguko wa mchezo na tunakupatia punguzo la 50% ili kushinda kwa kiwango cha chini!

Punguzo la 50% kwenye kipengele cha manunuzi litaanza kuanzia Jumanne ya tarehe 24 November hadi Jumatano ya tarehe 2 December.

Kipengele cha Manunuzi:

Zawadi au ahadi ya zawadi ndio inatufanya tucheze. Kikapu cha dhahabu mwisho wa mchezo, mizunguko ya bonasi iliyobeba vizidishi na mizunguko ya ziada, alama zinazokua, kutanuka na kuongezeka zikileta ushindi wa shilingi za dhahabu – haijalishi ni kipengele gani, tunataka kuzichochea. Na sasa kuna njia ya kucheza Slots na kufuzu moja kwa moja kwenda kwenye mizunguko ya bonasi. Tukizichochea tunapozihitaji. Sahau kuhusu Scatters, zimekua hazihitajiki, isipokua ukiwa tayari kucheza dau kubwa.

Jinsi ya Kucheza:

  • Chagua moja ya michezo mi 4 iliyochaguliwa.
  • Chagua kipengele cha manunuzi chenye punguzo la 50% .
  • Kipengele hiki kitatoa bonasi ya mizunguko 10 ya bure (free spins) papo hapo.
  • Angalia kitufe cha taarifa kwenye mchezo kwa maelezo zaidi.

Ofa kabambe yenye punguzo la 50% kwenye kipengele cha manunuzi inapatikana kwenye michezo hii mi4:

Cheza mchezo wowote!

Vigezo na Masharti
  • Ofa ya punguzo la 50% kwenye kipengele cha manunuzi itaanza kuanzia Jumanne ya tarehe 24 November 03:00 hadi Jumatano ya tarehe 2 December 02:59.
  • Bashiri zote zilizo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu hazito fuzu promosheni hii .
Michezo iliyofuzu
Ushindi
  • Ushindi unawekwa moja kwa moja kwenye salio la mchezaji.
  • Bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitakazo fuzu (bashiri zilizo wekwa na pesa ya bonasi au bashiri za bure hazito hesabiwa).
  • Kipengele cha manunuzi kitagharimu Zaidi kuliko mzunguko wa kawaida na kitatoa mizunguko 10 ya bure papo hapo (free spins).
  • Ushindi utakaopatikana kutoka kwenye kipengele cha manunuzi utawekwa kama pesa taslimu na unaweza kutolewa bila masharti mengine yoyote ya ziada.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshirikiTunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kuwatenga mteja yeyote kutoka kupokea matangazo ya kuchaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.