Flash Win Flash Win

Crash games ndio the new craze na tuna michezo bora zaidi – Aviator, Rocketman, Mines na Coin Vault! Weka bashiri yako kwenye mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,400 TSH kwa siku 4 zijazo, na kama hauto crash kwa wakati ili kushinda, bado tutakuzawadia na rejesho la pesa la 10% kwenye hasara utakayoipata hadi 48,000 TSH.

Step 1
Cheza The Aviator, Rocketman, Mines au Coin Vault
Poker
Step 2
Weka Bashiri zako
Deposit
Step 3
Shinda au pata rejesho la Pesa!
Leaderboard
Aviator & Rocketman ni michezo yetu mipya ya vizidishi, ambapo vizidishi vinaongekeza na unatakiwa ku cash out kabla hauja-crash out! Kwenye Mines na Coin Vault unatakiwa ku-cash out kabla haujagonga a mine! Weka bashiri yako kwenye mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,400 TSH kwa siku 4 zijazo, na kama hauto crash kwa wakati ili kushinda, bado tutakuzawadia na rejesho la pesa la 10% kwenye hasara utakayoipata hadi 48,000 TSH.

Ofa ya Crash Back kwenye mchezo wa Aviator, Rocketman Mines na Coin Vault itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 16 hadi Ijumaa 19 Septemba.

Kuhusu Mchezo wa The Aviator:

Aviator ni mchezo mpya wa vizidishi wenye curve inayo ongezeka na inaweza ku-crash muda wowote. Mzunguko unapoanza, kizidishi kinaanza kuongezeka. Unatakiwa ku-cash out kabla ndege ya bahati haijapaa mawinguni! Pia unaweza kuweka bashiri mbili/double na ukawatumia ujumbe wachezaji wengine wanaocheza huo mchezo.

Kuhusu Mchezo wa Rocketman:

Tuna Lift Off! Rocketman ni mchezo wenye spidi na msisimko ambapo una nafasi ya kujishindia hadi mara 20,000 ya dau lako! Mchezo huu wenye social multiplayer yenye msisimko zaidi unakuruhusu kuweka bashiri mara mbili ili kupata ushindi mkubwa zaidi. Weka bashiri kabla safari haijaanza, tazama jinsi Rocket inavyopaa na ushindi wako unavyoongezeka, kisha Cashout kabla Rocket haijalipuka!

Kuhusu Mines:

Mchezo wa Mines una vyumba vya mraba vyenye nyota na mines za aridhini zilizofichwa kwenye field. Unachotakiwa kufanya ni kufungua nyota nyingi uwezavyo bila kulipua mine! Kwa kila nyota utakayoifungua ushindi wako utaongezeka. Unaweza cash out kila utakapofanikiwa na ukachukua ushindi wako, au ukaendelea ili kupata ushindi mkubwa zaidi! Na pia kuna option ya auto play ambapo unaweza kupanga kucheza utakavyo.

Kuhusu Coin Vault:

Ingia kwenye vault ya benki yenye theme ya mchezo wa mine! Kulingana na mchezo wa classic mine-sweeper games wa miaka ya 80s, kinachotakiwa kufanywa kwenye Coin Vault ni kufumbua squares iwezekanavyo ili kuongeza ushindi wako bila kugonga mine – kisha crash out! Unaweza ku-adjust size ya bodi ya mchezo na jinsi mines zilivyo, ili kugundua njia mpya za mbinu za ushindi.

Muda wa Promosheni
 • Muda wa Crash Back kwenye mchezo wa Aviator, Rocketman, Mines na Coin Vault ni kuanzia Ijumaa tarehe 16 Septemba 00:00 UTC hadi Jujmatatu tarehe 19 Septemba 23:59 UTC
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Rejesho la Pesa
 • Rejesho la pesa linapatikana kwenye mchezo wa The Aviator & Rocketman pekee.
 • Wachezaji wanastahili kupokea rejesho la pesa la 10% kwenye hasara walioipata hadi kufikia 48,000 TSH
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonus hazitohesabika).
 • Wachezaji wanatakiwa wacheze angalau 2,400 TSH ili kufuzu kupokea ofa hii.
 • Kima cha juu kabisa mchezaji anachoweza kupokea ni 48,000 TSH.
 • Rejesho la pesa litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
 • Rejesho la pesa litalipwa kwenye akaunti yako ya pesa taslimu bila masharti yoyote ya ziada.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.