Flash Win Flash Win

Crash games ndio the new craze na tuna michezo bora zaidi – Aviator! Weka bashiri yako kwenye mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,350 TSH kwa siku 4 zijazo, na kama hauto crash kwa wakati ili kushinda, bado tutakuzawadia na rejesho la pesa la 10% kwenye hasara utakayoipata hadi 47,000 TSH.

Step 2
Weka Bashiri zako
Deposit
Step 3
Shinda au pata rejesho la Pesa!
Leaderboard

Aviator ni mchezo mpya wa vizidishi ambao una curve inayo ongezeka na inaweza ku-crash muda wowote. Weka abshiri zako kwenye mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,350 TSH kwa siku 4 zijazo, na kama hauto crash kwa wakati ili kushinda, bado tutakuzawadia na rejesho la pesa la 10% kwenye hasara utakayoipata hadi 47,000 TSH.

Ofa ya Rejesho la pesa kwenye mchezo wa The Aviator itaanza kuanzia Alhamisi tarehe 2 Juni hadi Jumapili ya tarehe 5 Juni.

Kuhusu Mchezo wa The Aviator:

Aviator ni mchezo mpya wa vizidishi wenye curve inayo ongezeka na inaweza ku-crash muda wowote. Mzunguko unapoanza, kizidishi kinaanza kuongezeka. Unatakiwa ku-cash out kabla ndege ya bahati haijapaa mawinguni! Pia unaweza kuweka bashiri mbili/double na ukawatumia ujumbe wachezaji wengine wanaocheza huo mchezo.

Muda wa Promoshen
 • Muda wa Rejesho la pesa kwenye mchezo wa The Aviator ni kuanzia Alhamisi tarehe 2 Juni 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 5 Juni 23:59 CET.
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Rejesho la Pesa
 • Rejesho la pesa linapatikana kwenye mchezo wa The Aviator kutoka Spribe.
 • Wachezaji wanastahili kupokea rejesho la pesa la 10% kwenye hasara walioipata hadi kufikia 47,000 TSH.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonus hazitohesabika).
 • Wachezaji wanatakiwa wacheze angalau 2,350 TSH ili kufuzu kupokea ofa hii.
 • Kima cha juu kabisa mchezaji anachoweza kupokea ni 47,000 TSH.
 • Rejesho la pesa litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
 • Rejesho la pesa litalipwa kwenye akaunti yako ya pesa taslimu bila masharti yoyote ya ziada.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.