Netgaming Netgaming

Tuna michezo bomba 3 kutoka Apollo kwa ajili yako mwisho wa wiki hii – Bila kupoteza! Cheza 1 au michezo 3 yote ifuatayo: Golden Age Multireels, Pinky Cat, Rich Kittens. Kama hautoshinda tutakupatia 100% ya hasara yako kama bonasi ya hadi 12,000 TSH.

Step 1
Chagua mchezo unaoshiriki
Poker
Step 2
Zungusha reels
Deposit
Step 3
Shinda au pata rejesho la bonasi ya 100%!
Leaderboard

Tuna michezo bomba mi3 kutoka Apollo kwa ajili yako mwisho wa wiki hii – Bila kupoteza! Unaweza kuchagua kucheza mchezo wowote mmoja au yote mitatu kwa pamoja katika michezo ifuatayo: Golden Age Multireels, Pinky Cat, Rich Kittens. Zungusha angalau 2,400 TSH ili kufuzu, na kama hautoshinda tutakupatia 100% ya hasara yako kwa ujumla kama bonasi ya hadi 12,000 TSH.

Ofa ya rejesho la bonasi 100% ni kuanzia Ijumaa tarehe 4 hadi Jumapili tarehe 6 Novemba.

Kima cha juu kabisa cha bonasi kitakua ni 12,000 TSH, na kinaweza kutumika kwenye mchezo wowote kati ya 3 inayoshiriki. Bonasi itatolewa siku ya Jumatatu tarehe 7 Novemba na itakua na masharti ya kuzungusha mara 30/ wagering requirements kabla ya kuweza kutolewa kama pesa taslimu.

Chagua mchezo wako:

Golden Age Multireels : Ni mchezo wenye reel tatu zinazochakatwa kwenye concept ya kipekee. Ni mchezo ambao hauna bonasi na droo na hio ndio faida yake, unatoa game paylines tano zenye makadirio ya ushindi wa 95%.

Pinky Cat: Mchezo utakao ku engage zaidi wenye reel 5 zenye design ya kipekee sana na vipengele kadhaa vya bonasi kama alama zitakazokua zinatokea na kupotea bila mpangilio au wild symbols zenye multipliers mara 2 hadi 16.

Rich Kittens: Sequel ya mchezo wetu pendwa wa Pinky Cat. Muundo matata, sauti kali na vipengele kadhaa vya bonasi. Rich Kittens ni mchezzo wa reel 4 zenye mistari ya ushindi 81. Alama za Wild multiplies na ushindi wa mara 2, 4 au 8.

Muda wa Promosheni
 • Muda wa Rejesho la bonasi 100% ni kuanzia Ijumaa tarehe 4 Novemba 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 6 Novemba 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Rejesho la Bonasi
 • Ofa ya Rejesho la Bonasi inapatika kwenye michezo ifuatayo pekee kutoka Apollo: Golden Age Multireels, Pinky Cat, Rich Kittens.
 • Wachezaji wanaweza kupokea bonasi ya 100% kwenye hasara ya jumla ulioipata ndani ya muda wa promosheni kwenye mchezo wowote au moja ya michezo 3 inayoshiriki ya hadi 12,000 TSH.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonus hazitohesabika).
 • Wachezaji wanatakiwa wacheze angalau 2,400 TSH ili kufuzu kupokea ofa hii.
 • Kima cha juu kabisa mchezaji anachoweza kupokea ni 12,000 TSH.
 • Rejesho la pesa litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
TAARIFA YA BONASI
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Sio kila mchezo utachangia, au utachangia kwa kiasi sawa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kwenye michezo ifutayo ndio itahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements: Golden Age Multireels, Pinky Cat, Rich Kittens kutoka Apollo.
 • Michezo yote 3 inayoshiriki inachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 12,000 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 12,000 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 10 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.