Wazdan Cash Tournament Wazdan Cash Tournament

Una safari ya siku 12 kujishindia sehemu ya 15,900,000 TSH! Hizo ni siku 12 za michezo 12 ambayo unaweza kujishindia 1,300,000 TSH kila siku kama cash drops! Ni rahisi weka dau la angalau 265 TSH ili kuanza kushinda, na endelea kuzungusha ili kujishindia zawadi nyingi zaidi za pesa taslimu.

Step 1
Chagua mchezo wako wa slot
Casino
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Shinda zawadi ya cash drop!
Money Bag

Unaweza kujishindia sehemu ya 15,900,000 TSH kama Zawadi za Cash Drops kwa siku 12 zijazo! Cheza moja ya michezo yote 12 inayoshiriki kwenye michezo ya Wazdan na kadri unavyozidi kucheza unaweza kujishindia moja ya zawadi 611 za kila siku zinazotolewa bila mpangilio, endelea kucheza na unaweza kushinda zaidi!

Mashindano ya Safari ya siku 12 yataanza kuanzia Jumatano ya tarehe 22 Disemba hadi Jumapili ya tarehe 2nd Januari.

Cheza kwa dau la angalau 265 TSH kwa kila mzunguko kwenye moja ya michezo ifuatayo ili kujishindia zawadi za pesa taslimu. Kwa zawadi za cash drop ni rahisi, cheza moja ya michezo hii au yote 12 kwa pamoja iliyoteuliwa na utapata zawadi kadri unavyozidi kucheza.

Endelea kuzungusha ili kushinda zawadi za bila mpangilio za cash drops kwenye michezo ifuatayo

Play any game!

Muda wa Promosheni
 • Mashindano ya Safari ya siku 12 yataanza kuanzia Jumatano ya tarehe 22 Disemba 2021 saa 00:00 CET hadi Jumapili ya tarehe 2nd Januari 2022 saa 23:59 CET.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Cash Drop
 • Dau la chini kabisa ili kufuzu kwa kila mzunguko ni 265 TSH
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu zinatakiwa ziwekwe kwenye moja ya michezo 12 ifuatayo kutoka Wazdan: 9 Lions, Juicy Reels, Burning Stars 3, Sun of Fortune, Sizzling 777 Deluxe, Black Horse Deluxe, Fortune Reels, Telly Reels, Lucky Reels, Larry the Leprechaun, Vegas Hot 81, Football Mania Deluxe.
 • Ili kushiriki kwenye Kampeni, wachezaji wanatakiwa kutumia real mode na kwenye michezo inayoshiriki ndani ya muda wa promosheni. Wachezaji wanaoshiriki wataingia moja kwa moja kwenye promosheni baada ya kuweka bashiri kwenye mchezo wowote unaoshiriki.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri za pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Kuna zawadi 611 za cash drop, zenye jumla ya thamani ya 15,900,000 TSH, ikiwa na 1,300,000 TSH itakayotolewa kama zawadi za cash drop kila siku ndani ya muda wa promosheni kama ifuatavyo:
 • Cash Drop Number Total
  130,000 TSH 1 50
  26,000 TSH 10 100
  2,650 TSH 1000 100
  1,325 TSH 500 250
 • Wachezaji wanaweza kushinda zaidi ya zawadi moja ya pesa taslimu ndani ya muda wa kampeni.
 • Wachezaji ni lazima waingie kwenye kampeni ili kufuzu kupokea zawadi.
 • Bashiri yoyote itakayowekwa kwenye michezo inayoshiriki na kufuzu ndani ya muda wa kampeni itaweza kupokea zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla.
 • Bashiri itakayofuzu inaweza kupokea zawadi moja tu. Zawadi zitatolewa bila mpangilio ndani ya muda wa promosheni. Zawadi zitalipwa kupitia RNG
 • Ni zawadi moja tu kati ya zawadi tatu za juu kabisa itatolewa ndani ya muda sawa na 5 % ya fainali ndani ya muda wa promosheni.
 • Kima cha chini cha dau kinachohitajika ili kushiriki ni 265 TSH au, kama dau hilo halipo, itachukuliwa bashiri yenye dau kubwa zaidi kwenye mchezo. Dau zote za bashiri zinapatikana kwenye mchezo “Bashiri zilizofuzu”.
 • Idadi ya zawadi ambazo zipo huwa inabadilika papo hapo.
 • Zawadi zote zitalipwa papo hapo kwenye akaunti za wachezaji muda huo huo unapopata ujumbe wa ushindi wako.
 • Zawadi zitatolewa kama zinavyoonekana kwenye jedwali la zawadi ya jumla
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering), na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zitakazolipwa kwa kutumia pesa ya bonasi zitalipwa kama pesa ya bonasi.
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwa sarafu ambayo bashiri ya ushindi ilitumika kuwekea, kulingana na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa sarafu kutoka Euro muda ule ambao bashiri imewekwa.
Jumla
 • Hii ni ofa ya mtandaoni kwenye tovuti zote zinazoshiriki
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye mashindano haya vipo kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.