Cash Days Tournament Cash Days Tournament

Mchezo bomba zaidi wa Crash umefika – Navigator. Kusherehekea ujio huu kwenye Premier Vegas tunakupatia rejesho la pesa la 20%! Weka bashiri zako kwa ajili ya mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,400 TSH ndani ya wiki ya rejesho la pesa, na kama hautoshinda, tutakupatia rejesho la pesa la 20% hadi 24,000 TSH.

Step 1
Cheza Navigator
Casino
Step 2
Weka bashiri zako
Slots
Step 3
Shinda au pata rejesho la pesa la 20%!
Money Bag

Tuna rejesho la pesa la 20% kwenye mchezo wetu bomba zaidi wa wa Crash , Navigator! Weka bashiri zako kwenye mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,400 TSH ndani ya wiki ya rejesho la pesa, na kama hautoshinda, tutakupatia rejesho la pesa la 20% kwenye hasara utakayoipata hadi 24,000 TSH.

Ofa ya Rejesho la Pesa kwenye mchezo wa Navigator ni kuanzia Jumatatu tarehe 10 Aprili hadi Jumapili tarehe 16 Aprili 2023.

Kuhusu mchezo wa Navigator:

Umejaribu michezo yote, sasa cheza mchezo bomba zaidi! Navigator ni mchezo wa wachezaji wengi wa Crash unaokuja na kizidishi kinachozidi kuongezeka ambapo unaweza kushinda hadi mara 250,000 ya dau lako! Weka dau kabla ya ndege kuruka, tazama ikiendelea kuongeza ushindi wako, na kisha toa pesa kabla ndege haijaruka na kupotelea mbali. Kadri unavyoacha ndege iendelee kuruka, ndivyo unavyoweza kushinda zaidi, ikiwa tu utatoa pesa kabla ya ku crash out!

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya rejesho la pesa kwenye mchezo wa Navigator ni kuanzia Jumatatu tarehe 10 April 00:01 UTC hadi Jumapili tarehe 16 Aprili 23:59 UTC 2023.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Rejesho la Pesa
 • Rejesho la pesa linapatikana kwenye mchezo wa Navigator kutoka Solidicon.
 • Wachezaji wanastahili kupokea rejesho la pesa la 20% kwenye hasara walioipata hadi kufikia 24,000 TSH.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonus hazitohesabika).
 • Wachezaji wanatakiwa wacheze angalau 2,400 TSH ndani ya kila wiki ya rejesho la pesa ili kufuzu kupokea ofa hii.
 • Kima cha juu kabisa mchezaji anachoweza kupokea ni 24,000 TSH.
 • Rejesho la pesa litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
 • Rejesho la pesa litalipwa kwenye akaunti yako ya pesa taslimu bila masharti yoyote ya ziada.
Jumla
 • Ofa hii ya kipekee ni kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.