Pata Bonasi ya bure ya kipekee ya 5,000 TSH unapoweka salio lako kwa mara ya kwanza! Ni rahisi, weka salio angalau 2,500 TSH na tumia Bonasi yako ya bure utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara ya pili! Tumia salio lako la bonasi kwenye mchezo wowote wa Slots, kwa masharti ya kuzungusha angalau mara 30/wagering requirements).
Ili kuhakikisha unaanza kubashiri na kupata ushindi Premier Bet tunakupatia Karibu Bonasi ya bure na ya Kipekee ya 5,000 TSH. Ili kupata Bonasi yako ya Bure ni rahisi, weka salio la angalau 2,500 TSH – huitaji kuweka bashiri! Unapofanikiwa kuweka pesa, basi utakapoingia kwenye akaunti yako kwa mara nyingine, bonasi yako ya bure ya 5,000 TSH itakuwa tayari kutumika!
Karibu Bonasi ya michezo ya Slots inapatikana unapoweka pesa kwa mara ya kwanza.
Ili kupata Bonasi yako baada ya kufanikiwa kuweka salio la angalau 2,500 TSH, itabidi utoke kwenye akaunti kisha uingie tena kwenye akaunti yako na Bonasi yako ya bure itakua kwenye akaunti yako. cheza mchezo wowote wa Slots (isipokua Booming, Playson au mchezo wa Jackpot Slot). Salio lako la bonasi linatakiwa kuzungushwa angalau mara 30 kabla ya kuweza kutoa ushindi wowote.
Jinsi ya Kupata:
Ingia kwenye akaunti au sajili akaunti bure kupitia link maalumu
Nenda kwenye ukurasa wa. kuweka pesa page.
Weka salio la angalau 2,500 TSH.
Toka kwenye akaunti yako kisha ingia tena. Bonasi ya BURE itakua imeshawekwa kwenye akaunti yako.
Utatumia kucheza kwenye mchezo wako wowote pendwa wa slots, ikiwemo michezo hii maarufu ya slots:
SLOTS_BONUS_NEW
Bonasi haiwezi kutumika kwenye mchezo wowote wa Booming, Playson au michezo ya Jackpot Slot.
MUDA WA PROMOSHENI
- Unaweza kupata Karibu Bonasi ya michezo ya Slots kuanzia XXX CET hadi Ijumaa tarehe 31 Disemba 23:59 CET.
- Pesa zote zitakazowekwa nje ya muda wa promosheni hazitofuzu kupokea bonasi.
DEPOSITS ZITAKAZOFUZU
- Ofa hii ni ya kipekee kwa wachezaji wapya watakaojisajili kupitia link iliyotolewa.
- Unatakiwa kuweka pesa kwa mara ya kwanza angalau 2,500 TSH.
- Karibu Bonasi ya Bure ya michezo ya Slots inatolewa mara moja tu.
- Kima cha juu cha bonasi ambacho kitatolewa kwa kila mchezaji ni 5,000 TSH.
TAARIFA YA BONASI
- Bonasi yako itawekwa kwenye akaunti yako moja kwa moja baada ya kukamilisha usajili wako ndani ya muda wa promosheni. Kila mchezaji mpya anastahili kupokea Karibu Bonasi moja ya Slots; wachezaji wengine watakaopokea ofa nyingine zozote wakati wa usajili hawatofuzu kwenye promosheni hii.
- Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
- Sio michezo yote inachangia, au inachangia kwa kiwango kile kile kwenye kutimiza masharti ya kubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kweye michezo ya slots pekee ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri.
- Michezo yote ya slot inachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri (isipokua michezo ya Booming, Playson au Jackpot Games), na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu kabisa cha dau kwa kila mzunguko ambacho kinachangia kwenye kila mzunguko kutimiza masharti ya kubashiri ni 11,750 TSH (kiasi chochote kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambacho kitakua juu ya 11,750 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri).
- Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
- Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 235,000 TSH.
- Una siku 14 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
- Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
JUMLA
- Unaweza kupata bonasi mara moja tu unaposajili akaunti mpya.Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine za bonasi au promosheni.
- Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi zilizopo kwanza na baada ya hapo zitakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated basi bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri (wagering requirements).
- Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
- Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
- Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
- Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
- Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
- Vigezo na Masharti kuzingatiwa.