UEFA Challenge UEFA Challenge

Weka Bashiri kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika na unaweza kujishindia sehemu ya 33,785,000 TSH! Kuna njia 2 za kushinda zawadi ya pesa taslimu – pata alama za kutosha kutoka kwenye kila bashiri ya ushindi utakayoweka na upande kwenye ubao wa washindi (dau angalau 466 TSH, alama zisizopungua 1.2, ishinde au ipoteze) au unaweza kushida zawadi ya Cash Drop bila mpangilio!

BASHIRI SASA
Step 1
Weka bashiri
Sports
Step 2
Shinda na upate alama
Bonus
Step 3
Shinda zawadi za pesa taslimu!
Money Bag
BASHIRI SASA
Mashindano
Nafasi Jina la mtumiaji Alama Zawadi
1 3*****2 13010.09 4,660,000 TSH
2 3*****8 8655.92 2,330,000 TSH
3 3*****7 6286.12 1,747,500 TSH
4 2*****6 4025.5 1,188,300 TSH
5 4*****3 3573.66 1,048,500 TSH
6 3*****4 2954.65 932,000 TSH
7 2*****0 2541.08 815,500 TSH
8 2*****7 1839.7 699,000 TSH
9 2*****2 1587.05 582,500 TSH
10 3*****3 1512.51 466,000 TSH
11 3*****5 1346.92 407,750 TSH
12 4*****0 1238.6 349,500 TSH
13 4*****1 673.92 291,250 TSH
14 3*****7 462 233,000 TSH
15 4*****1 441.6 209,700 TSH
16 6*****6 427.29 186,400 TSH
17 3*****0 411.59 163,100 TSH
18 3*****9 402.17 139,800 TSH
19 3*****0 400 116,500 TSH
20 5*****5 389.16 93,200 TSH
21 3*****7 382.26 69,900 TSH
22 2*****9 357.05 58,250 TSH
23 3*****9 359.8 46,600 TSH
24 3*****4 332.77 34,950 TSH
25 3*****0 309.81 23,300 TSH
MUDA:29 days
MWISHO:
ZAWADI YA JUMLA: :16,892,500 TSH

Ubao wa washindi mara ya mwisho ulibadilishwa: 07/02/2022

* Ubao wa washidi utakua unabadilika kila siku. Ubao wa mwisho utachapishwa siku ya Jumatatu tarehe 7 Februari.

Shinda Kombe la Afrika la michezo ya Kubashiri na upate sehemu ya 16,892,500 TSH kama zawadi ya Pesa taslimu! Ni rahisi, weka bashiri za ushindi kwenye mechi za AFCON hadi fainali na utapata alama za kupanda kwenye ubao wa washindi!

Ubao wa washindi kwenye Kombe la Afrika la michezo ya Kubashiri utawekwa kuanzia Jumapili tarehe 9 Januari hadi Jumapili tarehe 6 Februari

Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi yoyote ya AFCON. Bashiri zinaweza kuwekwa kama moja moja au nyingi, kabla ya mechi au mubashara, na lazima ziwe na dau kuanzia 466 TSH, na alama za jumla zisizopungua 1.2. Alama zitahesabiwa na kizidishi cha ushindi, unaposhinda kiasi cha ushindi wako kitagawanywa na dau lako, kwa mfano umeweka bashiri ya 2,330 TSH na ukashinda 23,300 TSH, utapata alama 10 kwenye ubao wa washindi. Alama zako za ushindi zinavyozidi kuwa kubwa ndivyo unavyopata alama kubwa zaidi za kwenye ubao wa washindi!

Tuna zawadi zenye thamani ya jumla ya 17,037,500 TSH za kushindaniwa kila muda unapoweka bashiri kwenye mechi yoyote ya AFCON! Ni rahisi, weka bashiri na haijalishi kama bashiri itashinda au itapoteza unaweza kujishindia zawadi ya pesa taslimu ya bila mpangilio – moja kwa moja ikawekwa kwenye akaunti yako. Kuna zawadi 156 za pesa taslimu kushindaniwa kila siku kwa siku 29!

Mashindano ya Kombe la Afrika la michezo ya Kubashiri yataanza kuanzia Jumapili tarehe 9 Januari hadi Jumapili tarehe 6 Februari

Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi yoyote ya AFCON. Bashiri zinaweza kuwekwa kama moja moja au nyingi, kabla ya mechi au mubashara, na lazima ziwe na dau angalau 466 TSH, na alama za jumla zisizopungua 1.2. Bashiri zinaweza kuwa za ushindi au zikapoteza, na bashiri yoyote inaweza kupata zawadi ya bila mpangilio ya Pesa taslimu!

Vigezo & Masharti

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Kombe la Afrika la michezo ya Kubashiri itaanza kuanzia Jumapili ya tarehe 9 Januari 02:00 hadi Jumapili ya tarehe 6 Februari 01:59.
 • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupekea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za Mashindano ya Kombe la Afrika la michezo ya Kubashiri ni lazima ziwekwe kwenye mechi za AFCON pekee.Kama utaweka bashiri nyingi kwenye mkeka basi mechi zote za kwenye mkeka wako ni lazima ziwe za AFCON ili kufuzu. Hakuna michuano mingine au michezo mingine itakayohesabika.
 • Bashiri zinaweza kuwekwa moja moja au nyingi, kabla ya mechi na wakati mechi inaendelea zote zitahesabika.
 • Bashiri ni lazima ziwe na dau kuanzia 466 TSH.
 • Bashiri ni lazima ziwe na alama za jumla angalau 2.p.
 • Bashiri zilizoshinda pekee ndizo zitakazofuzu kupokea Kombe. Bashiri zilizoshinda na zilizopoteza zinaweza kupata zawadi za Cash Drop.
 • Bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazofuzu (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitohesabika).
 • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mfumo hazitohesabika.
Ubao wa washindi
 • Kutakua na ubao mmoja wa washindi ukiwa na zawadi ya jumla ya 16,892,500 TSH, na washindi 25 wa mwanzo kama wanavyoonekana kwenye ubao wa washindi hapo juu pamoja na zawadi husika za pesa taslimu.
 • Alama zitahesabiwa na kizidishi cha ushindi kwa kila bashiri. Kwa kila bashiri iliyofuzu utakayoiweka na kushinda utapata alama kulingana na kiasi cha ushindi wako kitakachogawanywa na dau lako, kwa mfano umeweka bashiri ya 2,330 TSH na ukashinda 23,300 TSH, utapata alama 10 kwenye ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi utaonyesha wachezaji wa juu 25 waliofanikiwa kukusanya alama nyingi zaidi ndani ya muda wa promosheni.
 • Ubao wa washindi utakua unabadilika kila siku. Ubao wa washindi wa mwisho wa siku ya mechi utachapishwa siku ya Jumatatu ya tarehe 10 Februari.
 • Zawadi zitatolewa kama zitakavyo onekana kwenye ubao wa ushindi hapo juu.
 • Kama kutakua na mchezaji zaidi ya mmoja aliefuzu kupokea zawadi (mfano, wenye alama sare), mchezaji wa kwanza kuweka bashiri yake ndie atakaeshinda zawadi iliyotolewa kwenye ubao wa washindi.
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 kuanzia muda ambao mara ya mwisho ubao wa washindi umechapishwa.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada na zinaweza kutolewa papo hapo.
Cash Drops
 • Bashiri yoyote ya pesa taslimu kwenye mechi za AFCON zinaweza kushinda zawadi ya bila mpangilio ya Pesa Tasimu. Kutakua na zawadi ya jumla ya 16,892,500 TSH. Na zawadi za kila siku kama ifuatavyo:
 • Zawadi Idadi
  1,165 TSH 100
  2,330 TSH 50
  23,300 TSH 5
  233,000 TSH 1
 • Mchezaji yoyote anaweza kushinda zawadi za Cash drop mara nyingi awezavyo ndani ya muda wa promosheni.
 • Zawadi za pesa taslimu zitawekwa moja kwa moja kwenye akaunti za wachezaji siku inayofuata. Zawadi ikitolewa, itaondolewa kwenye zawadi za jumla za kila sikul.
 • Zawadi za Pesa taslimu zitatolewa pale mchezaji anapoweka bashiri iliyofuzu, haijalishi kama itashinda ama itapoteza.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.