Virtual Tournament Virtual Tournament

Endeleza burudani wakati wa Kombe la Mataifa ya Afrika na mashindano yetu kabambe ya mpira wa miguu yanayopambwa na zawadi kubwa za pesa! Shinda sehemu ya 3,000,000 TSH zawadi za pesa taslimu kwenye Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika! Kila wiki kutakuwa na Mashindano MAPYA yakiwa na michezo yako pendwa ya Mpira wa Miguu! Unaweza kuwa mmoja wa wachezaji 10 wenye bahati ya kushinda sehemu ya 600,000 TSH kila wiki, cheza michezo ya Mpira wa Miguu iliyopendekezwa na kushinda zawadi za pesa taslimu za ziada kila wiki.

CHEZA SASA
Step 2
Zungusha angalau 300 TSH kuanza kupanda kwenye ubao wa washindi!
Deposit
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Leaderboard
CHEZA SASA

Kombe la Mataifa ya Afrika linaendelea, na kama unatafuta burudani zaidi wakati wa mapumziko au baada ya mechi kuisha, basi cheza Mashindano yetu ya Kombe la Mataifa ya Afrika ili kushinda sehemu ya 3,000,000 TSH pesa taslimu! Kila wiki kutakuwa na Mashindano MAPYA yakiwa na michezo yako pendwa ya Mpira wa Miguu na utakuwa na nafasi ya kushinda sehemu ya 600,000 TSH katika kila Mashindano. Ili kushiriki, chagua tu moja ya michezo ya Mpira wa Miguu iliyopendekezwa, zungusha angalau 300 TSH na kila ushindi utakuletea alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kushinda moja kati ya zawadi 10 za pesa kila wiki!

Promosheni ya African Cup Tournaments itaanza Jumamosi tarehe 13 Januari hadi Jumapili tarehe 11 Februari 2024.

Promosheni hii imegawanywa ndani ya Mashindano 5 yatakayoendeshwa kama ifuatavyo:

 1. Jumamosi tarehe 13 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 17 Januari 2024 23:59 UTC.
 2. Alhamisi tarehe 18th Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 24 Januari 2024 23:59 UTC.
 3. Alhamisi tarehe 25 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 30 Januari 2024 23:59 UTC.
 4. Alhamisi tarehe 1 Februari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 7 Februari 2024 23:59 UTC.
 5. Alhamisi tarehe 8 Februari 2024 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 11 Februari 2024 23:59 UTC.

Jinsi ya Kushinda:
Zungusha angalau 300 TSH kwenye mchezo wowote unaoshiriki. Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi ( kwa mfano, kama utaweka bashiri ya 3,000 TSH na ukashinda 30,000 TSH, utazawadiwa alama 10 ). Alama utakazozipata zitajumlishwa ndani ya kipindi chote cha kila mashindano. Unavyokusanya alama nyingi zaidi, ndivyo unavyozidi kupanda juu zaidi kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 10 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watashinda sehemu ya zawadi ya 600,000 TSH kila wiki!


Zawadi ya Jumla
Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 210,000 TSH 210,000 TSH
2 2 120,000 TSH 120,000 TSH
3 3 60,000 TSH 60,000 TSH
4 10 30,000 TSH 210,000 TSH
JUMLA 600,000 TSH


Zawadi ya Jumla ni 3,000,000 TSH Pesa Taslimu. Kila wiki itatoka 600,000 TSH kwa washindi 10. Ni rahisi, chagua moja ya mechi zifuatazo za mpira wa miguu zilizooredheshwa hapo chini, zungusha angalau 300 TSH kwa nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu:

Alhamisi tarehe 8 Februari 2024 00:00 UTC hadi Jumapili 11 Februari 2024 23:59 UTC.
 1. Penalty: From the Streets from Solidicon
 2. Instant Premier Football – English League from Solidicon
 3. Instant Premier Football – French Ligue 1 from Solidicon
 4. Instant Premier Football – Italian Serie A from Solidicon
 5. Instant Premier Football – Spanish La Liga from Solidicon
 6. Retro Football from Solidicon
 7. Premier Football X from SmartSoft
Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya African Cup Tournaments itaanza Jumamosi tarehe 13 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 11 Februari 2024 23:59 UTC.
 • Promosheni hii imegawanywa ndani ya Mashindano 5 yatakayoendeshwa kama ifuatavyo:
  1. Jumamosi tarehe 13 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 17 Januari 2024 23:59 UTC.
  2. Alhamisi tarehe 18th Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 24 Januari 2024 23:59 UTC.
  3. Alhamisi tarehe 25 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 30 Januari 2024 23:59 UTC.
  4. Alhamisi tarehe 1 Februari 2024 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 7 Februari 2024 23:59 UTC.
  5. Alhamisi tarehe 8 Februari 2024 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 11 Februari 2024 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
 • Kima cha chini cha dau la kufuzu kwa kila bashiri ili kushiriki kwenye mashindano ni 300 TSH. Kama kima hiki cha chini cha bashiri hakipatikani, itahesabika kwenye kiasi kikubwa kinachofuata kinachopatikana kwenye mchezo.
 • Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lililofuzu.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Kila ushindi utakupatia alama zinazotegemea kizidishi cha ushindi ambacho kitatajwa kwenye taarifa za mashindano hapo juu : mahesabu yatakua kama ifuatavyo: kwa kila 3,000 TSH utakayoshinda utapata alama 1 (kwa mfano, ikiwa unaweka dau la 3,000 TSH na kushinda 30,000 TSH, utapewa alama 10). Alama ulizopata hujumlishwa kipindi chote cha Mashindano.
 • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
 • Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
 • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
 • Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
 • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
 • Zawadi ya jumla ni 3,000,000 TSH Pesa Taslimu. Kila wiki itatoka 600,000 TSH kwa washindi 10.
 • Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
 • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada/0x wagering na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR au USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Hii ni ofa kwa wachezaji wa Premier Bet pekee.
 • Kiwango cha zawadi kipo kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na mfumo wa ubadilishaji safaru.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa.(mf. guaranteed best price; bonasi; bashiri za bure; enhanced prices; na rejesho maalumu la pesa) na matangazo mengine yoyote na ofa
 • Tuna hifadhi haki ya kumtenga, kufuta au kuondoa Bashiri ya bure na ushindi wote uliotokana na bashiri ya bure kutoka kwenye akaunti zitakazobainika zimefanya ubadhilifu.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.