Basketball World Cup Free Bet Basketball World Cup Free Bet

Pata bashiri ya bure kila siku unapoweka bashiri yenye chaguo la mechi za Basketball World Cup, angalau machaguo 2!

Step 1
Nenda Mchezo Wa Kikapu > Kimataifa > FIBA World Cup
Football
Step 2
Weka bashiri yenye mechi za Basketball World Cup
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure!
Bonus

Pata bashiri yako ya bure kila siku unapoweka bashiri kwenye mechi za Basketball World Cup! Ni rahisi, weka bashiri yenye chaguo la mechi za Basketball World Cup, ikiwa na machaguo angalau 2 na dau lisilopungua 2,500 TSH na utapata bashiri ya bure ya 2,500 TSH!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau moja la Basketball World Cup.
 • Dau angalau: 2,500 TSH
 • Machaguo angalau: 2
 • Alama kwa kila chaguo si chini ya: 1.20

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla si chini ya: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni hii inapatikana kuanzia tarehe 07/09/23 21:00 hadi 10/09/23 17:00.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau 2,500 TSH.
 • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo angalau 2.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo moja la mechi ya Basketball World Cup.
 • Machaguo yote kwenye mkeka ni lazima yawe na alama zisizopungua 1.20.
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu kupata bashiri ya bure; bashiri hewa/Voided, zilizokua Cancelled, au Cashed-out hazitofuzu.
 • Cancelled, Voided, or Cashed-out bets will not qualify.
 • Bashiri iliyofuzu ni lazima ikamilike ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu kupata bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Bashiri ya bure itatolewa moja tu kwa kila siku, kwa kila mchezaji kwenye hii ofa.
 • Bashiri ya bure itatolewa kwa wachezaji waliofuzu mara baada ya bashiri kukamilika au ndani ya masaa 48 kama kutakua na tatizo la kiufundi.
 • Wachezaji watapokea bashiri ya bure kwa kila bashiri ya kwanza iliyofuzu kila siku.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakacho tolewa ni 2,500 TSH.
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye Mechi yoyote.
 • Bashiri ya bure ni lazima iwekwe kwenye bashiri yenye alama zisizopungua 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.