Basketball World Cup Insurance Basketball World Cup Insurance

Bima ya Mkeka kwenye mechi za Basketball World Cup: Pata rejesho la pesa kama bashiri ya bure endapo chaguo moja litakuangusha!

Chagua kujiunga
Step 1
Nenda kwenye Mpira wa Kikapu
Basketball
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 5+ ya mechi za Basketball World Cup
Bonus
Step 3
Chaguo moja limekuangusha? Pata rejesho la pesa yako kama Bashiri ya bure!
Bonus
Chagua kujiunga

Weka bashiri kwenye mechi za Basketball World Cup kwa kujiamini na ufurahie Bima yetu ya mkeka kwenye mechi za Basketball World Cup. Ni rahisi, weka machaguo 5 ya mechi za Basketball World Cup kwenye mkeka wako na kama chaguo moja tu litakuangusha, tutakupa rejesho la dau lako kama Bashiri ya bure hadi 10,000 TSH!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Weka machaguo angalau 5 ya Basketball World Cup kwenye mkeka wako.
 • Machaguo angalau 5 kwenye mkeka wako yenye alama 1.20 au zaidi.
 • Machaguo yote kwenye mkeka wako ni lazima yakamilike kati ya tarehe 24/08/23 18:00 – 03/09/23 23:59.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Bashiri ya bure ni lazima itumike kwenye Kijenga Bashiri
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni hii inapatikana kuanzia tarehe 24/08/23 18:00 – 03/09/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau machaguo 5 ya mechi za FIBA Basketball World Cup ili kufuzu. Unaweza kujumuisha na machaguo mengine kwenye mechi tofauti kwenye mkeka wako.
 • Machaguo yasiyopungua 5 na alama ziwe 1.20 au zaidi. Bashiri inaweza kuwa na chaguo lenye alama chini ya 1.20 na bado ikafuzu, endapo machaguo yale 5 yatakua na alama 1.20 au zaidi.
 • Bashiri yako iliyofuzu ni lazima ikamilike, machaguo yote ya kwenye mkeka lazima yapate matokeo ndani ya muda kati ya 24/08/23 18:00 hadi 03/09/23 23:59 ili kufuzu kupata Bashiri ya bure.
 • Ni bashiri ziliopoteza pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure; bashiri zilizoshinda, bashiri hewa/Voided, zilizokua Cancelled, au Cashed-out hazitofuzu.
 • Bashiri zilizofuzu hazitakiwi kuwa na machaguo ambayo ni hewa/ Voided au Cancelled.
 • Bashiri zitakazofuzu ni lazima ziwe na chaguo moja tu lililopoteza, na machaguo mengine yote ni lazima yashinde.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Bashiri ya bure itaingizwa kwenye akaunti yako mara baada ya machaguo yote ya kwenye mkeka uliofuzu kukamilika.
 • Kima cha juu cha bashiri ya bure kitakacho tolewa ni hadi 10,000 TSH.
 • Kiasi chote cha bashiri ya bure ni lazima kitumike kwenye bashiri moja.
 • Bashiri ya bure ni lazima iwekwe kwenye bashiri yenye alama zisizopungua 1.50.
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye Michezo yote iliyofuzu.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni.
 • Kama bashiri yako pia itafuzu kwenye promosheni ya Bima ya Mkeka, utazawadiwa Bashiri ya bure kwa ajili ya bima ya mkeka na hautopewa Bashiri ya bure kwa ajili ya hii promosheni.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.