Exclusive Offer Exclusive Offer

Ofa ya Kipekee ya mechi za FIBA AFROCAN: Bashiri na Upate kiasi cha bashiri ya bure sawa sawa na dau lako!

Step 1
Nenda kwenye Mpira wa Kikapu
Go to Football
Step 2
Weka bashiri yenye chaguo la mechi za FIBA AFROCAN
Bet
Step 3
Tutakupatia bashiri ya bure sawa sawa na dau lako
Free Bet

Weka bashiri yenye chaguo la mechi ya FIBA AFROCAN na tutakupatia bashiri ya bure sawa na dau lako, hadi kiasi kilichotajwa kwenye SMS yako!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima zikamilike kati ya tarehe 12/07/23 11:00 – 19/07/23 23:59 ili kufuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau moja la mechi za mpira wa kikapu – FIBA AFROCAN.
 • Kima cha chini cha alama kwenye mkeka: 1.50
 • Bashiri za bure zitatolewa wakati bashiri inapokamilika. Bashiri uliyoiweka ndio itakua bashiri ya kwanza iliyofuzu ndani ya muda uliotajwa hapo juu.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya Bure:

 • Chagua Bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Kima cha chini cha alama kwenye mkeka: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7.
MUDA WA PROMOSHENI
 • Ofa hii ni kwa wateja waliopokea SMS ya kipekee kuhusiana na hii ofa
 • Ofa hii inapatikana kwa bashiri zilizokamilika kati ya tarehe 12/07/23 11:00 – 19/07/23 23:59
KUFUZU BASHIRI YA BURE
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zilizowekwa kwenye mechi za mpira wa kikapu za mashindano ya FIBA AFROCAN ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu kwenye ofa hii.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo moja la mechi za FIBA AFROCAN zitakazochezwa kati ya 12/07/23 – 16/07/23. Unaweza kuweka machaguo mengine kutoka mechi tofauti tofauti kwenye mkeka wako.
 • Bashiri zilizofuzu zinatakiwa kuwa na alama za jumla zisizopungua 1.50
 • Dau la bashiri ya kwanza iliyofuzu iliyowekwa ndani ya kipindi cha promosheni hii ndio litalinganishwa sawa sawa na kiasi cha bashiri ya bure.
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu ofa ya bashiri ya bure, bashiri zilizokua Cancelled, Voided au Cashed-out hazitofuzu.
 • Bashiri yako iliyofuzu inatakiwa kukamilika kabla ya tarehe 19/07/23 23:59 ili kufuzu kupokea Bashiri ya bure.
TAARIFA YA BASHIRI YA BURE
 • Utapokea bashiri ya bure moja tu kwenye ofa hii.
 • Dau la bashiri iliyofuzu litalinganishwa kwa 100% na bashiri ya bure utakayoipata, hadi kima cha juu kilichotajwa katika SMS yako.
 • Bashiri za bure zitatolewa baada ya kukamilka kwa bashiri iliyofuzu.
 • Kiwango chote cha bashiri ya bure ni lazima kitumike mara moja.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama angalau 1.50.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika katika mechi yoyote ya michezo iliyofuzu.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7 tangu tarehe ya uliyopewa.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtenga mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.