Exclusive Offer Exclusive Offer

Ni nani atashinda Kombe la Bundesliga?
Baada ya miezi 10 na mechi 33, hatimae imefikia siku ya mwisho wa msimu. Mshindi wa Bundesliga 22/23 atajulikana Jumamosi hii.
Je itakua ni Borussia Dortmund au Bayern Munich?
Weka bashiri ya 2,500 TSH au zaidi yenye chaguo la soko la 1X2 kwenye mechi ya Dortmund vs Mainz na FC Cologne vs Bayern Munich.
Ikiwa utabashiri matokeo sahihi katika mechi zote mbili, tutakupatia bonasi ya 2,500 TSH!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Bonus
Step 2
Bashiri matokeo ya mechi kwa usahihi
Cash Out
Step 3
Pata Bashiri ya bure siku inayofuata!
Cash Out
Chagua kujiunga

Weka bashiri ya 2,500 TSH au zaidi ya kabla ya mechi matokeo ya (1X2) kwenye mechi ya Dortmund v Mainz, pamoja na FC Cologne v Bayern Munich. Ikiwa utabashiri matokeo yote kwa usahihi, utapatats bonasi ya 2,500 TSH siku ya Jumatatu, tarehe 29/05/23.

Bashiri yako lazima iwe na mechi zote mbili: Dortmund v Mainz na FC Cologne v Bayern Munich

Bashiri yako ya kwanza tu yenye mechi zote mbili ndio itafuzu.

Jinsi ya kutumia Bonasi:

 • Machaguo kwenye mkeka yasipungue: 3
 • Alama kwa kila chaguo zisipungue: 1.50
 • Bashiri zilizobatilishwa au kughairishwa hazitohesabika kwenye hii promosheni.
 • Bonasi zita expire baada ya siku 7
Bashiri zitakazofuzu
 • Ubashiri lazima uwe na chaguo la kabla ya mechi kutoka mechi ya Dortmund v Mainz, pamoja na FC Cologne v Bayern Munich zinazochezwa tarehe 27/05/23, na chaguo zote lazima ziwe kwenye soko la 1X2.
 • Ubashiri wako wa kwanza tu unaotia ndani chaguo la kabla ya mechi 1X2 kutoka mechi ya Dortmund v Mainz, pamoja na FC Cologne v Bayern Munich zinazochezwa tarehe 27/05/23, ndio utafuzu kwenye hii promosheni. Ubashiri wowote utakaoongezwa baada ya hapa hautafuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau 2,500 TSH ili kufuzu.
 • Bashiri zilizokua cashed-out hazitohusika kwenye promosheni hii.
 • Bashiri zilizobatilishwa au kughairishwa hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bonasi ya Michezo
 • Kima cha juu kabisa cha idadi za bonasi ambazo mchezaji anaweza kupata ni bonasi moja.
 • Lazima utabiri matokeo sahihi ya mechi ya Dortmund v Mainz, pamoja na mechi ya FC Cologne v Bayern Munich zinazochezwa tarehe 27/05/23 ili upokee bonasi.
 • Ikiwa utabashiri matokeo ya mechi zote kwa usahihi, utapewa bonasi siku ya Jumatatu, tarehe 29/05/23.
 • Kiasi chote cha pesa ya bonasi utakachopewa ni lazima kitumike angalau mara moja kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu.
 • Bashiri zitakazowekwa kwa pesa ya bonasi ni lazima ziwe na machaguo yasiyopungua matatu ili bashiri ihesabike kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/ wagering requirements.
 • Machaguo yote ndani ya mkeka ni lazima yawe na alama zisizopungua 1.50 ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements.
 • Kima cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye ushindi ni 25x ya kiasi cha bonasi ulichokipata.
 • Bonasi yako ita expire baada ya siku 7 kuanzia siku uliyopewa.
 • Majaribio yoyote utakayoyafanya kwa kuweka bashiri kwenye masoko mengi yanayomaliza machaguo yote yatapelekea kutokulipwa bonasi na itapelekea kuzuiwa kupata bonasi zozote hata mbeleni.
Jumla
 • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.| Bet.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.