Fazi Cash Drops Fazi Cash Drops

Tuna zawadi Bomba ya 720,000 TSH pesa taslimu kutolewa kwenye ofa yetu ya Booming Cash Days. Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu 15 ya slots inayoshiriki au yote kwa pamoja na utaingia moja kwa moja kwenye droo ya bila mpangilio kujishindia moja ya zawadi 20 za pesa taslimu kila wiki!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Anza kuzungusha
Deposit
Step 3
Shinda zawadi ya Cash Drop!
Leaderboard
CHEZA SASA

Siku za mwisho wa wiki zinazidi kupamba moto na nafasi ya kujishindia sehemu ya 720,000 TSH pesa taslimu! Ni rahisi, cheza moja ya michezo yetu 15 inayoshiriki kutoka Booming kati ya Jumatatu hadi Jumatano kwa wiki 3 zijazo, na kila wiki tutatoa zawadi ya 240,000 TSH pesa taslimu, kukiwa na wachezaji 20 wenye bahati kujishindia zawadi ya pesa taslimu siku ya Alhamisi!

Ofa ya Booming Cash Days itafanyika kila wiki kati ya Jumatatu na Jumatano, kuanzia Jumatatu ya tarehe 13 Februari hadi Jumatano tarehe 1 Machi.

Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja au michezo yote 15 kwa pamoja inayoshiriki iliyotajwa hapo chini ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya cash drop!

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Booming Cash Days itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 13 Februari 00:01 UTC hadi Jumatano tarehe 1 Machi 23:59 UTC.
  • Wiki ya 1. 13/02 00:01 UTC – 15/02 23:59 UTC
  • Wiki ya 2. 20/02 00:01 UTC – 22/02 23:59 UTC
  • Wiki ya 3. 27/02 00:01 UTC – 01/03 23:59 UTC
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo ya Booming : Burning Classics Big Apple Wins Buffalo Hold and Win Burning Classics go Wild Gamblelicious Hold and Win The Wild Wings of Phoenix Flaming Chilies Golden Strawberries Cash Pig Greek Legends Bang Bang Blockchain Megaways Booming Bananas The Rodfather Megaways Lucky Scarabs
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kuingia kwenye droo ya kushinda moja ya zawadi za cash drops. Dau litakua linajilimbikiza kwa kipindi chote cha promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo 15 iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
CASH DROP
 • Kuna zawadi 20 za 12,000 TSH pesa taslimu kutolewa bila mpangilio kila wiki
 • Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa droo.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla ipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.