Exclusive Offer Exclusive Offer

Pata bashiri ya bure sawa na dau lako kila siku unapoweka bashiri yenye machaguo 3 au zaidi ya mechi za klabu za kirafiki!

Step 1
Nenda kwenye Mpira wa Miguu > Klabu za kimataifa > Mechi za klabu za kirafiki
Bonus
Step 2
Weka machaguo 3 kwenye mkeka wako
Cash Out
Step 3
Pata bashiri ya bure!
Cash Out

Bashiri za mechi za klabu za kirafiki zinakupa fursa ya kushinda zaidi wakati unafurahia msisimko wa mechi za klabu kirafiki. Kila siku, unapoweka bashiri yenye machaguo 3 au zaidi ya mechi za klabu za kirafiki, tutakupa bashiri ya bure ya TSH 2,000 sawa na dau la bashiri yako!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Machaguo yasipungue 3 ya mechi za Klabu za Kirafiki
 • Kima cha chini cha dau: TSH 2,000
 • Alama zisipungue 1.50 kwa kila chaguo

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
MUDA WA PROMOSHENI
 • Promosheni itaanza tarehe 17/07/23 17:00 na itaisha tarehe 31/07/2023 08:00.
KUFUZU BASHIRI YA BURE
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu kwenye ofa hii.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau machaguo matatu ya mechi za Klabu za Kirafiki zilizochezwa kati ya tarehe 17/07/23 17:00 – 31/07/2023 08:00. Unaweza kuweka machaguo mengine kutoka mechi tofauti tofauti kwenye mkeka wako.
 • Bashiri zilizofuzu zinatakiwa kuwa na alama zisizopungua 1.50 kwa kila chaguo.
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu ofa ya bashiri ya bure, bashiri zilizokua Cancelled, Voided au Cashed-out hazitofuzu.
 • Bashiri yako iliyofuzu inatakiwa kukamilika kati ya tarehe 17/07/23 17:00 – 31/07/2023 08:00 ili kufuzu kupokea Bashiri ya bure.
TAARIFA YA BASHIRI YA BURE
 • Bashiri bure itatolewa moja tu kwa siku, kwa kila mchezaji kwenye hii ofa.
 • Bashiri za bure zitatolewa kwa wachezaji waliofuzu wakati bashiri zinapokamilika au ndani ya masaa 48 endapo kutakua na tatizo la kiufundi.
 • Utapewa zawadi ya bashiri ya bure kwa bashiri ya kwanza ya kufuzu itakayokamilka kila siku.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa kitakuwa ni TSH 2,000.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni zinazoendelea wakati huo huo.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.