Flash Win Flash Win

Crashout – Fireworks ni mchezo wetu mpya kabisa wa Crash Game ambapo unaweza kujishindia sehemu ya 1,200,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu kwenye Mashindano yetu ya Crashout Fireworks! Vizidishi vyako 10 ulivyo vi cash-out vikiwa na alama za juu zaidi vitahesabika kwenye alama zako, kukiwa na washindi 50 wa kwanza watakaojishindia zawadi za pesa taslimu!

Step 2
Cashout na vizidishi vikubwa zaidi
Deposit
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Leaderboard

Mchezo mpya kabisa wa Crash Game ndio huu na unaweza kujishindia sehemu ya 1,200,000 TSH kutoka kwenye zawadi ya jumla kwenye Mashindano ya Crashout – Fireworks! Tazama vizidishi vinavyoongezeka na cashout kujishindia alama na upande juu kwenye ubao wa washindi. Washindi 50 wa kwanza watajishindia zawadi ya pesa taslimu, na zawadi ya mshindi wa kwanza itakua ni 240,000 TSH !

Mashindano ya Crashout – Fireworks yataanza kuanzia 00:01 UTC Jumatatu tarehe 3 hadi 23:59 UTC Jumapili tarehe 9 Oktoba.

Ili kupata alama na kuzidi kupanda kwenye ubao wa washindi ni rahisi cheza Crashout – Fireworks. Alama zinatokana na vizidishi vya ushindi, kwa mfano uki cash-out kizidishi cha 105x tutakupatia alama 105. Ni vizidishi vyako 10 tu vyenye alama za juu zaidi ndivyo vitakavyohesabika. Vizidishi vyako 10 vitakua vinajumlishwa ndani ya mashindano kila utakapo cash out vizidishi vyenye alama za juu na juu zaidi. Kadri unavyochelewa ku-cashout ndivyo unavyozidi kupata alama za juu zaidi na kujishindia zawadi za kubwa zaidi!

Crashout – Fireworks

Blast off kwenye Crashout – Fireworks ili kupata nafasi ya kujishindia vizidishi vikubwa zaidi. Anzisha rocket yako na utazame jinsi utakavyovuna vizidishi, inavyozidi kupanda juu zaidi ndivyo mavuno yanavyokua makubwa zaidi, inazidi kukua na wewe unashinda zaidi. Tumia kipengele cha double bet ili ku-cashout kabla baruti haijalipuka na ushinde hadi mara ya mara 2,500 ya dau lako! Kizidishi kwa kila mzunguko kinatengenezwa na ‘Provably Fair’ algorithm, ambayo inakamilika kwa uwazi wa na ni haki kwa 100%.

Promotion Period
 • Promosheni ya Crashout – Fireworks Tournament itaanza Jumatatu ya tarehe 3 Oktoba 2022 00:01 UTC hadi Jumapili tarehe 9 Oktoba 2022 23:59 UTC
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zitakazofuzu ni lazima ziwekwe kwenye mchezo wa Crashout – Fireworks kutoka 1×2 Gaming.
 • Hakuna kima cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu.
 • Wachezaji wanaoshiriki wataingia moja kwa moja kwenye promosheni kwa kuweka bashiri kwenye mchezo.
 • Ni mizunguko ya pesa halisi pekee ndio itapata alama (bashiri kutoka mizunguko ya pesa za bonasi haitohesabika).
Ubao wa Washindi
 • Kutakua na ubao mmoja wa washindi ndani ya muda wa promosheni. Wachezaji watajilimbikizia alama za kuzidi kupanda kwenye ubao wa washindi na kujishindia zawadi za pesa taslimu.
 • Kila vizidishi vikubwa 10 kwa kila mchezaji vilivyokua cashed out vitajumlishwa kupata alama za jumla, na zitaonyeshwa kwenye ubao wa washindi wa kwenye mashindano, mfano: kizidishi cha cash out ya 123.12x ni sawa na alama 123.12
 • Alama za vizidishi 10 vya juu kabisa zitajumlishwa moja kwa moja kila kizidishi kikubwa zaidi kinapokua cashed out.
 • Mchezaji mwenye alama nyingi zaidi za jumla hadi mwisho wa promosheni atapata zawadi ya kwanza, wa pili atapata ya pili na kuendelea.
 • Alama za Ubao wa washindi zitakua zinabadilika katika muda halisi.
Zawadi za Ubao wa Washindi
 • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya mwisho ya Ubao wa washindi.
 • Washindi 50 wa kwanza kwenye ubao wa washidi wote watapata zawadi za pesa taslimu. Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering).
 • Zawadi zimeorodheshwa kwenye ubao wa washindi wa kwenye mchezo.
Jumla
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa USD na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa (mf. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa na ofa za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote ya promosheni na ofa.
 • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.