Exclusive Offer Exclusive Offer

Mashindano ya Australian Open yamewadia na tuna ofa ya kipekee kwa ajili yako!

Weka bashiri kwa dau lililotajwa kwenye SMS uliyotumiwa au zaidi kwenye mechi za Australian Open hadi tarehe 16/01/23 na utapata bonasi ya bure kulingana na kiasi kilichotajwa kwenye SMS yako siku ya tarehe 17/01/23. Bashiri zinatakiwa kuwa na alama zisizopungua 1.50 ili kufuzu na zikamilike kabla ya 17/01/23. Bonasi yako inaweza kutumika kwenye mechi za Australian Open, kwa alama zisizopungua 1.50 na masharti ya kuzungusha/wagering requirements x1.

Step 1
Weka bashiri kwenye mechi za Australian Open
Bonus
Step 2
Shinda au Poteza
Cash Out
Step 3
Pata bonasi yako!
Cash Out

Pata bonasi ukiweka bashiri kwa dau lililotajwa kwenye SMS yako au zaidi kwenye mechi za Australian Open!

Weka bashiri kwenye siku ya kwanza ya droo kubwa, kama bashiri yako itashinda au itapoteza haijalishi, utapata bonasi ya bure siku ya tarehe 17/01/23.

Ukipata bonasi yako unatakiwa kuizungusha mara moja kwenye mkeka wenye alama zisizopungua 1.50 ili kuibadilisha kuwa pesa taslimu!

MUDA PROMOSHENI
 • Ofa hii inapatikana kwa wachezaji ambao wamepokea meseji/SMS ya kipekee kuhusiana na ofa hii
 • Ofa hii inapatikana kwa bashiri zitakazowekwa kabla ya tarehe 17/01/23
VIGEZO VYA KUFUZU OFA YA BONASI
 • Bashiri ni lazima iwe na angalau chaguo moja la mechi za Mashindano ya Australian Open
 • Bashiri ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 1.50
 • Bashiri ni lazima ziwekwe na kukamilika kabla ya tarehe 17/01/23
 • Bashiri zilizokamilka pekee. Bashiri zilizofanyiwa Cash out au bashiri hewa hazitohesabika
TAARIFA YA BONASI
 • Bonasi yako itawekwa baada ya mechi zote kukamilika siku ya tarehe 16/01/23
 • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 1.50
 • Pesa ya bonasi ni lazima izungushwe angalau mara moja kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi
 • Bonasi inaweza kutumika ndani ya siku 7
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au bashiri yoyote, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki au kama mtumiaji anaweza kujulikana alikua na njia ambazo sio sahihi za kuona matokeo wakati anaweka bashiri.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bashiri ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.