Match Bet Get Match Bet Get

Enjoy! Umezawadiwa Bashiri ya bure ya Kijenga Bashiri ambayo unaweza kuitumia kuweka bashiri kwenye mechi iliyotajwa kwenye ujumbe wa kipekee uliotumiwa kwa njia ya Email au SMS! Ni rahisi, ingia kwenye akaunti yako ili kupata zawadi yako!

Step 1
Ingia kwenye akaunti yako
Football
Step 2
Nenda kwenye Kijenga Bashiri & Jenga Bashiri yako
Bonus
Step 3
Tumia bashiri yako ya bure ya Kijenga Bashiri!
Bonus

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure ya Kijenga Bashiri:

 • Nenda kwenye ‘Kijenga Bashiri’
 • Chagua mechi iliyotajwa kwenye ujumbe wa kipekee uliotumiwa kwa njia ya Email au SMS.
 • Anza kujenga bashiri yako (Machaguo angalau 2)
 • Nenda kwenye mkeka wako, chagua Bashiri yako ya bure ya Kijenga Bashiri na uweke bashiir yako ya Kijenga Bashiri utakavyo!
 • Alama angalau: 1.50
 • Bashiri za bure za Kijenga bashiri zita expire ikifika tarehe iliyotajwa kwenye ujumbe wa kipekee uliotumiwa kwa njia ya Email au SMS.
 • Bashiri ya bure ni lazima itumike kwenye Kijenga Bashiri
Muda wa Promosheni
 • Promosheni hii inapatikana hadi tarehe iliyotajwa kwenye ujumbe wa kipekee ulioupokea kwa njia ya Email au SMS.
Taarifa ya Bashiri ya bure ya Kijenga Bashiri:
 • Bashiri yako ya bure ya Kijenga Bashiri itaingizwa kwenye akaunti yako pale utakapoingia kwenye akaunti/Log in.
 • Bashiri ya bure ya Kijenga Bashiri inaweza kutumika kwenye mechi iliyotajwa kwenye ujumbe wa kipekee uliotumiwa kwa njia ya Email au SMS pekee.
 • Kiasi/Thamani ya Bashiri yako ya bure ya Kijenga Bashiri itatajwa kwenye ujumbe uliotumiwa kwa njia ya Email au SMS.
 • Kila mchezaji anaweza kupokea Bashiri ya bure 1 tu.
 • Bashiri utakayoweka kwa kutumia bashiri ya bure ya Kijenga Bashiri ni lazima iwe na alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri ya bure ya Kijenga Bashiri haiwezi kurudishwa au kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na Bashiri ya bure ya Kijenga bashiri utaingizwa kwenye akaunti ya mchezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokua kiasi cha awali cha Bashiri ya bure.