Booming Cash Drops Booming Cash Drops

Siku ya wafanyakazi Duniani/Labour Day shinda sehemu ya 5,875,000 TSH kama Cash Drops PAMOJA na kupata 50% ya Bonasi ya michezo ya Slots! ! Kwa kila 1,175 TSH utakayoiweka siku ya Jumamosi na Jumapili, utapata kiingilio cha kuingia kwenye droo ya Cash Drops. Pia utapata nafasi ya kupata Bonasi ya hadi 235,000 TSH kutumika kwenye mchezo wowote wa Slot, ikiwa na masharti ya kuzungushwa angalau mara 20.

WEKA PESA SASA
Step 1
Weka salio la angalau 1,175 TSH
Slots
Step 2
Pata bonasi yako ya 50% ya michezo ya Slots
Deposit
Step 3
Shinda zawadi ya Cash Drop!
Leaderboard

Hauhitaji kufanya kazi sana siku ya wafanyakazi Duniani/Labour day ili kushinda sehemu ya 5,875,000 TSH kama Cash Drops! PIA unapoweka pesa utapata bonasi ya 50% ya michezo ya Slots. Kwa kila 1,175 TSH takayoiweka siku ya Jumamosi na Jumapili utapata kiingilio cha kuingia kwenye droo ya Cash Drops. Pia unapoweka salio la hadi 470,000 TSH unaweza kupata bonasi ya hadi 50% kutumika kwenye michezo bomba zaidi ya Slots!

Ofa ya Labour Day Cash Drops & Bonasi itaanza kuanzia Jumamosi ya tarehe 30 Aprili hadi Jumapili ya 1 Mei.

Jinsi ya kushinda zawadi ya Cash Drop: Kwa kila 1,175 TSH unayoiweka kwa siku hizo 2 utapata kiingilio kimoja cha kuingia kwenye droo ya kujishindia moja ya zawadi za Cash Drop. Droo hio ya bila mpangilio itafanyika siku ya Jumatatu tarehe 2 Mei ambapo wachezaji 100 waliofuzu watachaguliwa kujishindia zawadi ya Cash Drop.


Jinsi ya kupata Bonasi ya michezo ya Slots:

Unapoweka pesa kwa mara nyingine unaweza kupata bonasi ya hadi 235,000 TSH kutumika kuzungusha magurudumu ya slots na kushinda! Ni rahisi weka salio na upate bonasi yako ya Slots ya 50%. Utapokea moja kwa moja bonasi ya kiasi sawa na pesa uliyoiweka ya hadi 235,000 TSH kwenye salio lako la bonasi na unaweza kuitumia kuzungusha reels!

Kima cha juu kabisa cha bonasi unachoweza kupokea ni 235,000 TSH, ikiwa na masharti ya kuzungusha mara 20 times kwenye salio uliloweka na salio la bonasi kabla ya kuweza kutolewa. Lakini fanya upesi – hii ni ofa ya muda mfupi inayopatikana hadi Jumapili, na unapoipata una siku 7 za kutumia bonasi yako.

Jinsi ya Kupata
– 1: Ingia kwenyeakaunti yako.
– 2: Weka salio lako na kisha chagua ‘Activate Bonus’ ili kufuzu kupokea bonasi ya michezo ya Slots ya 50%
– 3: Ofa hii ya bonasi itapatikana kama utatumia njia hizi zifuatazo kuweka pesa: Vocha, TigoPesa, Airtel na Ezypesa. Hautopokea bonasi kama utatumia njia ya Vodacom au Selcom kuweka pesa.
– 4: Baada ya hapo unaweza kucheza mchezo wako wowote pendwa wa slots, ikiwemo michezo hii maarufu:pesa.

.

Bonasi haiwezi kutumika kwenye michezo ya Booming, Playson au michezo ya slots ya Jackpot.

Utangulizi – Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Labour Day Cash Drops & Bonasi itaanza kuanzia Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 00:00 CET hadi Jumapili tarehe 1 Mei 23:59 CET
 • Pesa zozote zitakazowekwa nje ya muda wa promosheni hazitofuzu kupokea ofa hii.
Cash Drops
 • Kwa kila 1,175 TSH utakayoiweka ndani ya muda wa promosheni utapokea kiingilio 1 kuingia kwenye droo ya Cash Drops. Kwa mfano kama ukiweka 4,700 TSH utapata viingilio 4 vya kwenda kujishindia zawadi za cash drop za bila mpangilio.
 • Wachezaji 100 waliofuzu watachaguliwa bila mpangilio kushinda moja ya zawadi za Cash Drop za 235,000 TSH siku ya Jumatatu tarehe 2 Mei:

 • Zawadi za Cash Drops zitawekwa ndani ya masaa 72 baada ya droo kukamilika.
 • Zawadi za Cash Drops hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering) na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye shindano hili zipo kwenye mfumo wa USD na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
Slots Deposit Bonus
 • Utahitajika kudai bonasi yako ya Slots Deposit ya 50% ndani ya muda wa promosheni.
 • Pesa zozote zitakazowekwa nje ya muda wa promosheni hazitofuzu kupokea ofa hii.
 • YNi lazima u-activate bonasi unapoweka pesa kwenye akaunti yako ili bonasi iwekwe kwenye salio lako la bonasi.
 • Utapokea bonasi ya 50% howeka kama salio hadi kufikia 235,000 TSH. Kwa mfano: kama salio lako la kwanza utaweka 9,400 TSH basi utapokea 2,350 TSH kama salio la bonasi.
 • Bonasi ya 50% ya michezo ya Slots inatolewa mara moja tu ndani ya muda wa promosheni, na kima cha juu kabisa cha bonasi ambacho mchezaji anaweza kupokea ni 235,000 TSH.
TAARIFA YA BONASI
 • Bonasi yako itawekwa moja kwa moja utakapoi-activate utakapofanikiwa kuweka salio. Kila mchezaji aliyefuzu anaweza kupokea bonasi moja tu ya Slots Deposit Bonus ndani ya muda wa promosheni.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 20 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Sio michezo yote inachangia, au inachangia kwa kiwango kile kile kwenye kutimiza masharti ya kubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kweye michezo ya slots pekee ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Michezo yote ya slot inachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri (isipokua Booming, Playson au michezo ya Jackpot), na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu kabisa cha dau kwa kila mzunguko ambacho kinachangia kwenye kila mzunguko kutimiza masharti ya kubashiri ni 235,000 TSH(kiasi chochote kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambacho kitakua juu ya 235,000 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 5,875,000 TSH.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa. .
Jumla
 • Unaweza kupata bonasi moja tu ndani ya muda wa promosheni. Bonasi haziwezi kutumika kwa mjumuiko na bonasi au ofa nyingine yoyote ya promosheni.
 • Unapoweka bashiri, pesa itatolewa kwenye salio la pesa halisi lililopo kwenye akaunti yako kwanza na baada ya hapo pesa itakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated bashiri zote zilizofuzu kutoka kwenye salio halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.