Cash Days Tournament Cash Days Tournament

Umeshajaribu michezo yote, sasa cheza mchezo bora kuliko yote, sasa cheza mchezo bora zaidi – Navigator! Tunakupa bashiri ya bure kutumika kwenye moja ya mchezo wetu mpya Crash game, ambapo unaweza kujishindia hadi mara 250,000 ya dau lako kwenye mzunguko mmoja! Una bonasi ya 100 TSH yenye masharti ya kuzungusha angalau mara 1 (1x wagering requirements) kwenye mchezo wa Navigator inakusubiri kwenye akaunti yako!

Step 1
Nenda kwenye mchezo wa Navigator
Casino
Step 2
Weka bashiri yako ya bure ya 100 TSH
Slots
Step 3
Crashout kabla ndege haijapotea!
Money Bag

Mchezo mpya bora zaidi wa Crash game umefika – Navigator. Kusherehekea ujuo huu mpya kwenye Premier Vegas (insert brand name) tunakupatia bashiri ya bure! Ofa hii ya kipekee inapatikana sasa kwa kuingia kwenye akaunti yako! Tumia bashiri yako ya bure na crashout kabla ndege haijapotea ili kushinda!

Bonasi ya Kipekee ya Free Flight Navigator inapatikana hadi Jumapili ya tarehe 5 Machi.

Kima cha juu kabisa cha bonasi kitakachotolewa kitakua ni 100 TSH na kinaweza kutumika kwenye mchezo wa Navigator pekee. Ofa hii inapatikana kwa wachezajia mbao watapokea mseji ya ofa ya kipekee. Bonasi itawekwa kwenye akaunti yako pale utakapofanikiwa kuingia, na ina masharti ya kuzingusha mara 1 (wagering requirements) kabla ya kuweza kutolewa.

Muda wa Promosheni
 • Ofa ya Bonasi ya Kipekee ya Navigator Free Flight bonus inapatikana kabla ya Jumapili tarehe 5 Machi 2023 23:59 UTC.
 • Ukiingia kwenye akaunti yako au ukiweka bashiri yoyote au bashiri ikikamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
TAARIFA YA BONASI
 • Ofa hii ni kwa wachezaji ambao wamepokea meseji ya kipekee ya Promosheni hii (SMS au barua pepe/ email message)
 • Unaweza kufuzu kupata bonasi moja tu.
 • Kiasi cha bonasi kitakachotolewa kitakua ni 100 TSH na kitakua kinaweza kutumika kwenye mchezo wa Navigator pekee kutoka Solidicon.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 1 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Sio kila mchezo utachangia, au utachangia kwa kiasi sawa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Ni bashiri zilizowekwa kwenye michezo ya Crash Game Navigator ndio tahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements.
 • Mchezo wa Navigator game utachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni $0.05 (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 100 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 5 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 3 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
Jumla
 • Unaweza kupata bonasi moja tu ndani ya muda wa promosheni.Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa..
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.