Premier League Free Bets Premier League Free Bets

Premier League Imerejea: Pata rejesho la pesa kwenye bashiri yako ya kwanza ambayo itapoteza!
Bashiri kwenye mechi yoyote ya msimu 2023/24 na utapata rejesho la pesa kama bashiri ya bure kwenye bashiri yako ya kwanza kupoteza msimu huu, hadi 65,000 TSH!

Step 1
Nenda kwenye Premier League
Football
Step 2
Weka bashiri iliyofuzu
Bonus
Step 3
Pata rejesho la pesa kama bashiri ya bure ukipoteza!
Bonus

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye Premier League imerejea! Na promosheni yetu ya Rejesho la pesa kama bashiri ya bure, una nafasi ya kupata rejesho la pesa yako kama bashiri ya bure kwenye bashiri yako ya kwanza itakayopoteza msimu huu, hadi 65,000 TSH. Ni rahisi, weka bashiri itakayofuzu, na kama bashiri yako itapoteza, utapata rejesho la pesa yako kama bashiri ya bure!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima iwe na machaguo angalau 3.
 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau 1 la Premier League.
 • Machaguo hayatakiwi kupungua 3 kwenye mkeka wako na lazima yawe na alama angalau 1.20 au zaidi.
 • Bashiri yako ni lazima iwe imekamilika kati ya tarehe 09/08/23 00:00 na tarehe 21/08/23 23:59.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni:
 • Promosheni itaanza tarehe 09/08/23 00:00 na itaisha tarehe 21/08/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zenye machaguo 3 au zaidi, na angalau chaguo 1 la Premier League yenye alama angalau 1.20 ndio zitafuzu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri ni lazima zikamilike kati ya tarehe 09/08/23 00:00 na tarehe 21/08/23 23:59 ili kufuzu.
 • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ya bure itatolewa 1 tu kwa kila mchezaji.
 • Bashiri zilizofanyiwa cash out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri ambazo zina machaguo yaliyokua cancelled au yaliyobatilishwa hazitofuzu kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
 • Kama bashiri yako ya kwanza utakayopoteza msimu huu itakua ina vigezo vya kufuzu, tutakurudishia dau lako kama bashiri ya bure, hadi 65,000 TSH.
 • Bashiri ya bure itatolewa wakati bashiri itakapokamilika.
 • Kiasi cha kila bashiri ya bure itakayotolewa itakua sawa sawa kwa 100% na dau la bashiri iliyofuzu, hadi 65,000 TSH.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali. Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.