Sports Welcome Bonus Sports Welcome Bonus

Jisajili Premier Bet leo na upate 200% sawa sawa na salio lako la kwanza utakaloweka kwenye akaunti yako hadi 150,000 TSH! Pata Karibu bonasi yako ya Michezo sasa!

Step 2
Pata karibu bonasi yako ya michezo
Cash Out
Step 3
Anza kubashiri kwenye michezo!
Cash Out

Anza safari yako ya kubashiri michezo na bonasi ya michezo ya kibabe ya 200% sawa sawa na salio lako la kwanza, hadi kufikia 150,000 TSH!
Sajili akaunti yako ya Premier Bet, weka salio kwa mara ya kwanza na hapo hapo utapata 2.5x ya salio lako!

Mfano: Weka 4,000 TSH, Pata bonasi ya michezo ya 6,000 TSH. Jumla ya salio: 10,000 TSH.


Jinsi ya kuweka pesa:

Jinsi ya Kutumia Bonasi:

 • Masharti ya Ubashiri: Mara 5x ya salio uliloweka + Salio la Bonasi.
 • Machaguo yasipungue: 2
 • Alama kwa kila chaguo ni kuanzia: 2.00
 • Muda kabla Bonasi haijaexpire: Siku 14.

Utaweza kufuatilia maendeleo ya bonasi yako kwa kwenda kwenye akaunti yako > My profile > Binafsi > Bonasi.

MUDA WA PROMOSHENI
 • Karibu Ofa hii ya Michezo inapatikana kuanzia Ijumaa tarehe 26/01/24 16:00 CET hadi Ijumaa tarehe 31/05/24 23:59 CET.
KUFUZU BONASI
 • Ni salio la mara ya kwanza pekee lililowekwa ndani ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu ndio litafuzu kupokea bonasi.
 • Bonasi ni lazima ichukuliwe ndani ya siku 14 tangu siku uliyofanya usajili.
TAARIFA YA BONASI
 • Kiasi cha bonasi kitakachotolewa kitakua ni sawa sawa kwa 200% na salio lako la kwanza ulilofanikiwa kuweka hadi kima cha juu cha 150,000 TSH.
 • Ili kubadilisha salio la bonasi kuwa pesa halisi, lazima salio la awali na salio la bonasi vyote vizungushwe mara 5.
 • Kila bashiri iliyowekwa kwa ajili ya kutimiza masharti ya kubashiri ina kikomo cha juu cha 62,500 TSH kitakachohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Bashiri ni lazima ziwekwe kwenye matukio/mechi za michezo na lazima iwe na machaguo angalau 2, kila chaguo likiwa na alama zisizopungua 2.00 ili kutimiza masharti ya kubashiri. Bashiri zilizowekwa nje ya vigezo hivi hazitahesabika kwenye kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Kila bashiri moja iliyowekwa, ambayo itahesabiwa kwenye kutimiza masharti ya kubashiri, lazima iwekwe kwenye matukio tofauti tofauti.
 • Salio la pesa halisi na salio la bonasi kwa pamoja zitachangia katika kutimiza masharti ya kubashiri, kwa kuzingatia kwamba masharti ya bonasi yanatimizwa. Salio la pesa halisi litatumika kwanza kabla ya salio la pesa za bonasi.
 • Ili bashiri zihesabike katika kutimiza masharti ya kubashiri, zinatakiwa kukamilika kama bashiri zilizoshinda au zilizopotea. Bashiri zilizofutwa/cancelled au zilizofanyiwa cash out hazitohesabika katika kutimiza masharti ya kubashiri.
 • Masharti yote ya kubashiri lazima yatimizwe ndani ya siku 14 kuanzia siku ambayo bonasi imetolewa. Kutoweza kutimiza masharti hayo ndani ya muda uliopewa kutapelekea bonasi kuexpire na kufutwa.
 • Salio lote la bonasi lililosalia baada ya kutimiza mahitaji ya kubashiri, litabadilishwa kuwa pesa taslimu zinazoweza kutolewa, hadi mara 5 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Kama utatoa pesa bila kutimiza masharti ya kubashiri kutapelekea kufutiwa salio lote la bonasi.
 • Jaribio lolote la kutumia vibaya bonasi linaweza kupelekea kufutiwa bonasi na ushindi wote uliotokana na bonasi kuondolewa.
 • Tunahifadhi haki ya kuomba vitambulisho na/au nyaraka ambazo zinaweza kuthibitisha utambulisho wako.
 • Kwenda kinyume na vigezo na masharti yaliyoelezwa hapo juu, kunaweza kusababisha kufutwa kwa bonasi yako na ushindi wote unaohusiana na bonasi hio.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu kuzingatiwa.

Tafadhali kumbuka kuwa vigezo na masharti haya yanaweza kubadilika kwa uamuzi wetu. Ni jukumu lako kupitia mara kwa mara vigezo na masharti kwa ajili ya marekebisho au mabadiliko yoyote.

Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.