Cash Out Cash Out

Kandanda Fantasy ni mchezo mpya ambao unaweza kuweka bashiri kwenye fixtures za kubuni kwenye ligi tofauti tofauti kwa kutumia Matokeo HALISI ya mechi kumtambua mshindi. Matokeo ya mechi ya Kandanda Fantasy yanatoka kwenye magoli yaliyofungwa kwenye mechi ya kweli na kutumika kwenye mechi ya Kandanda Fantasy.

Step 1
Nenda kwenye Fantasy Football
Bonus
Step 2
Anza kubashiri!
Cash Out
Step 3
Subiri matokeo ya mwisho ya mechi halisi kujua kama umeshinda!
Cash Out

Kwa mfano: Mechi halisi za mwisho wa wiki

 • (Manchester United) v West Ham
 • (Real Madrid) v Sevilla

Mechi ya Kandanda Fantasy: Manchester United v Real Madrid.

*Timu ambazo zitakua zinacheza kwenye Kandanda Fantasy zitakua ni timu ambazo majina yake yatakua kwenye mabano ( )

Kwa mfano matokeo yakawa ni Manchester United sare 1-1 v West Ham na Real Madrid akashinda 2-0 dhidi ya Sevilla hivyo Real Madrid atashinda kwenye mechi ya Kandanda Fantasy kwa kufunga magoli 2 dhidi ya Manchester United mwenye goli 1.

Ni rahisi kama hivyo! Na kumbuka, timu yako inaweza KUPOTEZA kwenye mechi halisi na bado wakashinda kwenye mechi ya Kandanda Fantasy, kinachohitajika tu ni magoli ambayo timu yako itafunga.

Matokeo yote matatu (3) ya mechi yatakuwepo, Ashinde wa Nyumbani, Sare na Ashinde wa Ugenini na tutaongeza masoko mengine pia hivi karibuni.

Vigezo na Masharti:
 • Majina ya Timu zinazocheza kwenye mechi ya Kandanda Fantasy zitawekwa kwenye mabano ( )
 • Mechi zitakazokuwepo ni mechi za mpira wa miguu wa wanaume( watu wazima) za siku husika sio mechi za vijana
 • Bashiri zitawekwa kabla ya mechi halisi ya kwanza kuanza la sivyo bashiri zitakua batili/zitakataliwa.
 • Hauwezi kuchanganya mechi za Kandanda Fantasy na mechi halisi lakini unaweza kuchanganya mechi za Kandanda Fantasy
 • Mechi za Kandanda Fantasy hazitokua na Cash Out
 • Mechi yoyote halisi ambayo itasogezwa mbele, itaghairishwa au itapangiwa muda mwingine wa Zaidi ya masaa 48 ya muda uliopangwa kwa mara ya kwanza basi bashiri hio itakua hewa/itakataliwa kwa sababu za Kandanda Fantasy
Kwa Ujumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa kushirikiana na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo, pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
 • Tuna haki ya ziada ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa busara tukamtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.