Crazy Time Crazy Time

Tuna zawadi Bomba ya 1,920,000 TSH pesa taslimu kutolewa kwenye ofa yetu ya Fazi Cash Blast. Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu 15 ya slots inayoshiriki au yote kwa pamoja na utaingia moja kwa moja kwenye droo ya bila mpangilio kujishindia moja ya zawadi 40 za pesa taslimu kila wiki!

Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Anza kuzungusha
Deposit
Step 3
Shinda zawadi ya Cash Drop!
Leaderboard

Fazi Cash Blast inakupa nafasi ya kujishindia sehemu ya 1,920,000 TSH pesa taslimu! Ni rahisi, cheza moja ya michezo yetu 15 inayoshiriki kutoka Fazi kati ya Alhamisi hadi Jumapili kwa wiki 4 zijazo, na kila wiki tutatoa zawadi ya 480,000 TSH pesa taslimu, kukiwa na wachezaji 40 wenye bahati kujishindia zawadi ya pesa taslimu siku ya Jumatatu!

Ofa ya Fazi Cash Blast itafanyika kila wiki kati ya Alhamisi na Jumapili, kuanzia Alhamisi ya tarehe 9 February hadi Jumapili tarehe 5 Machi.

Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja au michezo yote 15 kwa pamoja inayoshiriki iliyotajwa hapo chini ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya cash drop!

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Fazi Cash Blast itaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 9 Februari 00:01 UTC hadi Jumapili ya tarehe 5 Machi 23:59 UTC.
 • Promosheni imegawanyika kwenye Wiki 4 ( Alhamisi – Jumapili ) za cash drops ambazo zitaendeshwa kama ifuatavyo:
  • Wiki ya 1. 09/02 00:01 UTC – 12/02 23:59 UTC
  • Wiki ya 2. 16/02 00:01 UTC – 19/02 23:59 UTC
  • Wiki ya 3. 23/02 00:01 UTC – 26/02 23:59 UTC
  • Wiki ya 4. 02/03 00:01 UTC – 05/03 23:59 UTC
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo ya Fazi:
 • Wild Hot 40 Golden Crown Very Hot 5 Giga Hot 40 Very Hot 40 African Treasure Lolla’s World Wild Hot 40 Blow Wild Lucky Clover Wild Joker Hot Vegas Dice Bonus Bells Power of The Great Crystal hot 40 Twinkling hot 40
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kuingia kwenye droo ya kushinda moja ya zawadi za cash drops. Dau litakua linajilimbikiza kwa kipindi chote cha promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo 15 iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash Drop
 • Kuna zawadi 40 za 12,000 TSH pesa taslimu kutolewa bila mpangilio kila wiki
 • Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa droo.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla ipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.