Crazy Wild Cash Drops Crazy Wild Cash Drops

Tuna zawadi Bomba ya 3,600,000 TSH pesa taslimu kutolewa kwenye ofa yetu ya Fazi Daily Festive Drop. Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu 20 ya slots inayoshiriki au yote kwa pamoja na utapata nafasi ya kushinda bila mpangilio moja ya zawadi zetu 10 za pesa taslimu kila siku! Pamoja na zawadi ya ziada kwenye New Year Drop kwa siku 2 pekee!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Anza kuzungusha
Deposit
Step 3
Shinda zawadi ya Cash Drop!
Leaderboard
CHEZA SASA

iandae kushinda zawadi za pesa taslimu zenye thamani ya 3,600,000 TSH mwezi wote wa Disembe unapocheza Fazi slots. Kila siku unaweza kushinda moja ya zawadi 10 kama cash drops bila mpangilio. Ni rahisi, cheza moja ya michezo 20 ya slot inayoshiriki kila siku ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya cash drop kila siku. Pia tuna New Year Drop maalumu siku ya tarehe 31 Disemba na tarehe 1 Januari ambapo tutatoa mara tatu ya zawadi!

Ofa ya Fazi Festive Drop itafanyika kuanzia Jumatano tarehe 7 Disemba hadi Jumapili tarehe 1 Januari.

Mzunguko wowote kwenye michezo 20 ya Fazi slots inayoshiriki inaweza kupata zawadi ya bila mpangilio ya pesa taslimu, ikiwa na zawadi 10 za 12,000 TSH kila siku! Unavyocheza zaidi ndivyo unavyozidi kujiongezea nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu! Zawadi kabambe kwa ajili ya New Year Drop, kwa siku 2 days pekee, tutakua na zawadi za pesa taslimu kila siku za 360,000 TSH!

Introduction – Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya Fazi Daily Festive Drop itaanza kuanzia Jumatano tarehe 7 Disemba 00:01 UTC hadi Ijumaa tarehe 30 Disemba 23:59 UTC.
  • Promosheni ya Fazi New Year Drop itaanza kuanzia Jumamosi tarehe 31 Disemba 2022 00:01 UTC hadi Jumapili tarehe 1 Januari 2023 23:59 UTC.
  • Ofa ya Cash Drops za kila siku ni kuanzia 00:00 UTC hadi 23:59 UTC.
  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
  • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ya Fazi 20 ifuatayo ifuatayo:
    1. Wild Joker Hot
    2. Wild Hot 40
    3. Golden Crown
    4. Giga Hot 40
    5. Very Hot 5
    6. Crystal Hot 80
    7. Crystal Hot 40
    8. Vegas Dice
    9. Very Hot 40
    10. Lolla’s World
    11. Reel Dice
    12. Twinkling Hot 40
    13. Retro 7 Hot
    14. 5 Wild Heart
    15. 40 Wild Clover
    16. MONEY STANDARD
    17. 20 Mega Flames
    18. Wild Lucky Clover
    19. Crystal Hot 40 Deluxe
    20. RAINBOW SEVENS
  • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kuingia kwenye droo ya kushinda moja ya zawadi za cash drops. Unaweza kujishindia zawadi ya cash drop kwenye mzunguko wowote wa mchezo uliofuzu.
  • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo 20 iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash drop
  • The Fazi Daily Festive Drop itakua na zawadi 10 za cash drop za 12,000 TSH kila siku, na zawadi ya jumla ya 2,880,000 TSH ndani ya muda wote wa promosheni.
  • The Fazi New Year Drop itakua na zawadi 30 za cash drop za 12,000 TSH kila siku, na zawadi ya jumla ya 720,000 TSH kwa siku 2 za muda wa promosheni.
  • Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya zawadi za cash drop kila siku.
  • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
  • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kushiriki kwenye mashindano haya vipo kwenye mfumo wa USD na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.