Wazdan Cash Tournament Wazdan Cash Tournament

Cheza mchezo wowote kwenye michezo yetu ya Wazdan kwa siku 10 na unaweza kujishindia sehemu ya 55,000,000 TSH Cash Drop. Zungusha angalau 275.00 TSH kwenye moja kati ya michezo yetu 10 inayoshiriki na kadri unavyocheza ndivyo unavyoweza kuwa mshindi wa moja ya zawadi za Cash Drop!

Step 1
Chagua mchezo
Casino
Step 2
Zungusha angalau 275.00 TSH
Slots
Step 3
Shinda moja ya zawadi za Cash Drop!
Money Bag

Tuna siku 10 za kujishindia zawadi za Cash Drop za bila mpangilio, ikiwa na jumla ya 55,000,000 TSH ya zawadi za pesa taslimu kushindaniwa! Ni rahisi, cheza moja ya mchezo yetu au michezo yetu yote 10 ya Wazdan iliyoshiriki na unaweza kuwa mmoja wa washindi wa zawadi 1,825 za pesa taslimu, inayotolewa bila mpangilio ukiwa unacheza, na zawadi kubwa zaidi ya 2,750,000 TSH!

Ofa ya Jackpot ya Cash Drop ya michezo ya Wazdan itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 15 hadi Jumapili ya tarehe 24 Oktoba.

Ni rahisi, zungusha angalau 275.00 TSH kwenye mchezo mmoja au yote 10 iliyooredheshwa hapa chini ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi za pesa taslimu:

Play any game!

Muda wa Promosheni
 • Muda wa Promosheni ya The Hold the Jackpot Cash Drop utaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 15 Oktoba 09:00 hadi Jumapili ya tarehe 24 Oktoba 23:59.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo: Burning Stars 3™, Clover Lady™, Fortune Reels, Midnight in Tokyo, Power of Gods™: Hades, Prosperity Pearls, Sun of Fortune, Unicorn Reels, Sizzling Bells.
 • Wachezaji ni lazima waweke dau la angalau 275.00 TSH kwa kila mzunguko kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kuingia kwenye promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo 10 iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash Drop
 • Kuna zawadi 1,825 za cash drop, zikiwa na jumla ya 55,000,000TSH ya kushindaniwa ndani ya muda wa promosheni kama ifuatavyo:
 • Prize Amount
  2,750,000 TSH 1
  2,612,500 TSH 1
  2,475,000 TSH 1
  550,000 TSH 5
  275,000 TSH 10
  137,500 TSH 52
  27,500 TSH 755
  13,750 TSH 1000
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zaidi ya zawadi moja ya pesa taslimu za bila mpangilio ndani ya muda wa kampeni.
 • Wachezaji ni lazima waingie kwenye Kampeni ili kufuzu kupokea zawadi za pesa taslimu.
 • Bashiri yoyote itakayofuzu kwenye michezo inayoshiriki ndani ya muda wa kampeni inaweza kupokea kiasi cha zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla.
 • Bashiri itakayofuzu inaweza kupokea zawadi moja tu ya pesa taslimu. Zawadi zitatolewa bila mpangilio ndani ya kipindi chote cha promosheni. Zawadi zitatolewa kupitia RNG
 • Moja ya zawadi kubwa tatu zitakua zinatolewa ndani ya muda ambao ni sawa na 5% ya muda wote wa promosheni.
 • Kima cha chini cha dau kinachotakiwa ili kushiriki ni €0.10 au, kama hakitopatikana, itachukuliwa bashiri yenye thamani ya juu kabisa kwenye mchezo. Kila kiasi cha dau kinaweza kupatikana kwenye mchezo “Bashiri zitakazofuzu”. or, if unavailable, rounded up to the next higher available bet size in the game. All available bet size amounts can be found in the game “Qualifying bet”.
 • Idadi ya zawadi zilizopo zinabadilishwa papo hapo.
 • Zawadi zote zitakazopata washindi zitalipwa papo hapo kwenye akaunti za wateja muda huo huo wanapopata taarifa ya ushindi.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya ushindi italipwa kulingana na sarafu iliyotumika kuweka dau, kulingana na thamani ya Euro wakati bashiri ya ushindi inawekwa.
Jumla
 • Hii ni ofa ya mtandaoni kwenye tovuti zote zinazoshiriki
 • Kiasi cha pesa ya Ushindi kipo kwenye mfumo wa EUR na kinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.