Booming Cash Drops Booming Cash Drops

Ingia kwenye extravaganza ya michezo bunifu kwenye ofa yetu ya January Virtual Sales yenye punguzo la 25%! Punguzo lipo kwenye michezo bunifu Instant Retro Football na Instant Premier Football. Cheza moja ya michezo hii inayoshiriki ndani ya wiki 3 zijazo! Kama hautoshinda, tutakupatia rejesho la pesa la 25% kwenye hasra utakayoipata hadi 12,000 TSH kila wiki.

Step 1
Cheza Instant Retro Football au Instant Premier Football,
Slots
Step 2
Weka bashiri zako
Deposit
Step 3
SHINDA au Pata rejesho la pesa la 25% kila wiki!
Leaderboard

Instant Retro Football na Instant Premier Football ni michezo yetu mipya ya Virtual Football. Weka bashiri zako kwa mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,400 TSH kwenye kila wiki ya rejesho la pesa, kwa wiki 3 zijazo, na kama hautoshinda, tutakupatia rejesho la pesa la 25% kwenye hasara utakayoipata hadi 12,000 TSH kila wiki.

Ofa ya January Virtual Sales itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 9 Januari 2023 hadi Jumapili tarehe 29 Januari 2023.c


Kuhusu Mchezo wa Instant Retro Football and Instant Premier Football:


Ingia kwenye hii extravaganza ya mpira wa miguu na utazame timu bora zaidi zikichuana kwenye mchezo maarufu zaidi duniani. Tumia hisia zako na uzoefu wako wa mechi za mpira wa miguu kushinda kwenye bashiri zenye mechi nyingi wakati ukishabikia timu zako pendwa. Chagua version kamili ya Instant Premier Football ili kutazama mechi zinavyocheza, au version ya lite Instant Retro Football. Ikiwa na muonekano wa kipekee na masoko yako pendwa ya kubashiri, bonasi ya ushindi kwenye bashiri nyingi na bashiri mubashara mechi zikishaanza! Ikiwa na mamilioni ya combinations za kabla ya mechi na mubashara, unaweza kushinda zaidi!

Vigezo & Masharti
  • Promosheni ya January Virtual Sales itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 9 Januari 2023 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 29 Januari 2023 23:59 UTC.

Promosheni ya rejesho la pesa kila wiki itakua kama ifuatavyo:

  • Wiki ya 1 = 09/01/23 00:00 UTC hadi 15/01/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 2 = 16/01/23 00:00 UTC hadi 22/01/23 23:59 UTC
  • Wiki ya 3 = 23/01/23 00:00 UTC hadi 29/01/23 23:59 UTC

  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Rejesho la Pesa:
  • Rejesho la pesa linapatikana kwenye mchezo wa Instant Retro Football na Instant Premier Football, ( Navigator [ as soon as we have it ] ) kutoka Solidicon.
  • Wachezaji wanastahili kupokea rejesho la pesa la 25% kwenye hasara walioipata hadi kufikia 12,000 TSHkwa wiki.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonus hazitohesabika).
  • Wachezaji wanatakiwa wacheze angalau 2,400 TSH ndani ya kila wiki ya rejesho la pesa ili kufuzu kupokea ofa hii.
  • Kima cha juu kabisa mchezaji anachoweza kupokea ni 12,000 TSH kwa kila wiki watakayofuzu.
  • Rejesho la pesa litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
  • Rejesho la pesa litalipwa kwenye akaunti yako ya pesa taslimu bila masharti yoyote ya ziada.
Jumla:
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.