Cash Back Boosts Cash Back Boosts

Tuta boost alama kwenye mechi ya Simba SC vs Young Africans SC siku ya Jumamosi ya tarehe 11 Disemba, na tumeweka hii kama bima endapo mechi itaisha sare dau lako litarudishwa kama pesa taslimu! Unaweza kuweka dau hadi 11,750 TSH kwenye Boosts za Rejesho la Pesa!

Step 1
Nenda kwenye Boosts
Sports
Step 2
Chagua Boost ya Rejesho la Pesa kwenye Kariakoo Derby
Bonus
Step 3
Dau litarudishwa kama pesa taslimu endapo mchezo utaisha sare!
Money Bag

Ni mechi kubwa kabisa ya Ligi Kuu ya Tanzania NBC ya Simba SC wakicheza na Young Africans SC siku ya Jumamosi ya tarehe 11 Disemba. Tutakupatia ODDS BOOST kabambe kwa mechi hii, alama zinavyokua kubwa zaidi, maana yake unaweza kushinda zaidi, PAMOJA NA Rejesho la Pesa kama mechi itaisha Sare!

Unaweza kuweka dau la hadi 11,750 TSH kwenye hii Boost ya Rejesho la Pesa, na kama masharti yatafikiwa utarejeshewa pesa yako kama ulivyoiweka dau.

Odds Boosts ni rahisi. Tuna boost alama za chaguo husika, mara nyingi kwenye mechi kubwa moja au nyingi. Tunachukua alama za machaguo tofauti tofauti na tunazi boost, ili ushinde zaidi.

Aina za Boosts:
 • Matokeo yakiisha sare: kama masharti ya Rejesho la Pesa yamewekwa kwa mchezo kuisha sare, mfano 0-0 au 1-1, baada ya muda wa kawaida dakika 90 kuisha, dau lako litarudishwa kama pesa taslimu.
Boost za Rejesho la Pesa
 • Rejesho la Pesa kwenye boosts litapatikana kama boosts zilipewa jina la Boost za Rejesho la Pesa.
 • Wachezaji wanaruhusiwa kuweka bashiri moja tu kwa kila Boost ya Rejesho la Pesa.
 • Ni bashiri 2,000 tu zitakubalika kama bashiri za Boost ya Rejesho la Pesa. Endapo bashiri 2,000 zitakua zimefikiwa basi boost ya Rejesho la Pesa haitopatikana tena.
 • Kima cha juu kabisa cha dau kwa kila bashiri ya Boost ya Rejesho la Pesa ni 11,750 TSH (labda kama itaandikwa vingine kwenye ofa ya Boost ya Rejesho la Pesa).
 • Ni Bashiri zilizowekwa kwa kutumia pesa taslimu pekee ndizo zitakazofuzu kwa Rejesho la Pesa (pesa za bonasi au bashiri za bure haziwezi kutumika kuweka bashiri ya Boosts za Rejesho la Pesa).
 • Boosts za Rejesho la Pesa kwenye shindano lililochaguliwa, ni bashiri za kabla ya mechi pekee.
 • Kama moja ya mechi zilizochaguliwa kama sehemu ya Boost za Rejesho la Pesa zitaghairishwa au kusogezwa mbele, bashiri ya boost itakua hewa na dau lako litarudishwa moja kwa moja kwenye akaunti yako.
  • Boosts zote za takwimu zitakua settled kulingana na matokeo yatakavyokua kwenye Who Scored
  • Boosts zote za alama za kandanda hua zinaangalia muda wa kawaida wa dakika 90 pekee, labda kama itaandikwa tofauti.
 • Bashiri za Boosts za Rejesho la Pesa zitakua hewa ndani ya masaa 2 baada ya kukamilika kwa chaguo la mwisho ndani ya boost husika.
 • Boosts za rejesho la Pesa haziwezi kughairishwa (cashed out).
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.