Live Bet Get Live Bet Get

Weka bashiri mubashara kwenye mechi ya Benfica v Real Sociedad na utapata bashiri ya bure yenye thamani sawa sawa hadi 5,000 TSH!

Opt-In
Step 1
Chagua kujiunga
Opt-in
Step 2
Weka bashiri mubashara
Bet on game
Step 3
Pata bashiri ya bure
Freebet
Opt-In

Weka bashiri wakati mechi ya Benfica v Real Sociedad inaendelea yenye alama zisizopungua 1.50 na utapata bashiri ya bure yenye thamani sawa sawa kwa 100% hadi 5,000 TSH.

Bashiri Zitakazofuzu

 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo la mechi ya Benfica v Real Sociedad inayocheza tarehe 24/10/23.
 • Bashiri ni lazima ziwe za mechi mubashara.
 • Alama si chini ya: 1.50
 • Bashiri yako ni lazima iwe imekamilika ndani ya siku 3.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni itaanza tarehe 24/10/23 21:00 na kuisha 24/10/23 23:00.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zenye chagul la mechi ya Benfica v Real Sociedad itakayocheza tarehe 24/10/23.
 • Bashiri ni lazima zikamilike kati ya tarehe 24/10/23 21:00 na 25/10/23 23:59 ili kufuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 1.50
 • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri zilizofanyiwa cash out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
 • Bashiri ambazo zina machaguo yaliyokua cancelled au yaliyobatilishwa hazitofuzu kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa kitakua ni sawa sawa kwa 100% na kiasi cha dau la bashiri iliyofuzu, hadi 5,000 TSH.
 • Bashiri ya bure itatolewa kwa bashiri ya kwanza itakayokamilika ikiwa na chaguo la mechi ya Benfica v Real Sociedad.
 • Bashiri ya bure itatolewa 1 tu kwa kila mchezaji.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.

Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.

Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.