Live Win Bonus Live Win Bonus

PremierBet inakupa bonasi ya 5% kwenye ushindi wako wa bashiri zako zote mubashara utakazoziweka kwenye ligi zilizochaguliwa. Cheza wakati ligi zinaendelea kwenye ligi zote zilizoorodheshwa hapo chini na upate 5% za ziada kwenye ushindi wako! Hakuna kima cha chini cha Alama!

Opt-In
Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Weka bashiri kwenye ligi zilizochaguliwa
Bonus
Step 3
Pata Bonasi ya 5% ukishinda!
Bonus
Opt-In

Tunatoa bonasi ya ushindi kwenye ligi moja moja kwa mara ya kwanza! Unapoweka bashiri mubashara kwenye ligi zilizotajwa hapo chini, tutakupatia 5% za ziada kwenye ushindi wako!

Unapoweka bashiri mubashara kwenye ligi zilizotajwa hapo chini, utaona potential extra winnings (ushindi wa ziada) kwenye mkeka wako, hadi kima cha juu kabisa cha 12,000,000 TSH.


Ligi zilizochaguliwa wiki hii:

 • Italia – Serie A
 • Uhispania – LaLiga
 • Ureno – Liga Portugal
 • Uingereza – Championship

VIGEZO VYA KUFUZU OFA YA BONASI
 • Ni lazima u bofye kitufe cha Opt-in kinachoonekana juu ili kufuzu kupata ofa hii.
 • Bashiri mubashara kwenye ligi zilizopo kwenye ukurasa wa promosheni
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kupokea bonasi (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitohesabika).
 • Bashiri zilizokamilika pekee. Bashiri zilizoghairishwa/cashed out au bashiri zilizobatilishwa/voided hazitohesabika.
TAARIFA YA BONASI
 • Promosheni hii itaisha tar 01/10/23 23:59.
 • Ushindi wako wa bonasi utahesabika pale endapo bashiri yako itashinda tu.
 • Kiasi cha bonasi ya ushindi kinachoonekana kwenye mkeka wako kabla bashiri yako haijakamilika ndio muongozo wako wa ushindi unaoweza kuupata kwenye machaguo yako yote yatakayofuzu. Zawadi ya bonasi ya ushindi itahesabiwa wakati bashiri yako inapokamilika.
 • Kima cha juu kabisa cha bonasi ya ushindi kinachoweza kulipwa kwa kila bashiri iliyoshinda ni 12,000,000 TSH
 • Kima cha juu kabisa cha pesa kinachoweza kulipwa kwa kila ushindi (pamoja na Bonasi ya Ushindi) ni 593,000,000 TSH
 • Ushindi wa bonasi utalipwa kama pesa taslimu (hakuna masharti yoyote ya ziada/ wagering requirements).
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo/ligi inayoshiriki au kama mtumiaji anaweza kujulikana alikua na njia ambazo sio sahihi za kuona matokeo wakati anaweka bashiri.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bashiri ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.