Loyalty Club Loyalty Club

Jiunge na Klabu yetu ya Uaminifu ya kipekee na ushinde bashiri za bure hadi 3 kila wiki!

Opt-In
Step 1
Opt-in
Bonus
Step 2
Nenda kwenye Michezo
Cash Out
Step 3
Weka bashiri!
Cash Out
Opt-In

Je, uko tayari kupeleka uzoefu wako wa kubashiri kwenye kiwango kingine kabisa? Klabu yetu ya Uaminifu ipo kwa lengo la kuwapa zawadi wateja wetu ya fursa za kusisimua na kushinda hadi bashiri 3 za bure kila wiki! Kwa categories tatu tofauti za kuchagua, una nafasi nyingi za kupata bashiri zako za bure na kuongeza ushindi wako kipekee kabisa. Hivi ndivyo jinsi inavyofanya kazi:

Category ya Dau:

Weka dau la lisilopungua kima cha chini cha dau kutoka kwenye moja ya levels nne zilizotajwa kwenye jedwali hapo chini ndani ya wiki ili kufuzu kupata bashiri ya bure. Kadiri unavyoongeza thamani ya dau, ndivyo unavyoshinda zaidi!

Viwango vya Dau:

Levels Kima cha chini cha dau kwa ujumla Zawadi ya bashiri ya bure
Level 1 10,000 TSH 500 TSH
Level 2 50,000 TSH 2,500 TSH
Level 3 250,000 TSH 12,500 TSH
Level 4 500,000 TSH 25,000 TSH

Category ya Idadi za bashiri:

Weka angalau bashiri 10 ndani ya wiki ikiwa na dau lisilopungua kiwango kilichowekwa kwenye kila levels kwenye jedwali hapo chini. Unapoweka bashiri nyingi zaidi ndivyo unavyozidi kuongeza nafasi yako ya kushinda!

Kiwango cha idadi za bashiri:

Levels KIma cha chini cha dau kwa kila bashiri Zawadi ya bashiri ya bure
Level 1 500 TSH 250 TSH
Level 2 2,500 TSH 1,250 TSH
Level 3 12,500 TSH 6,250 TSH
Level 4 25,000 TSH 12,500 TSH

Category ya kubashiri kila siku:

Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri ambao hufurahia msisimko wa michezo hii kila siku, tunameandaa category maalum kwenu. Weka bashiri kila siku ndani ya wiki nzima, ikiwa na kiwango cha dau kisichopungua kiwango cha chini cha siku na utakuwa na nafasi ya kushinda Basshiri nyingine ya bure. Onyesha uaminifu wako na azma yako, na tutakuzawadia zawadi kabambe.

Kiwango cha kubashiri kila siku:

Levels Kima cha chini cha dau kila siku Zawadi ya bashiri ya bure
Level 1 5,000 TSH 2,500 TSH
Level 2 25,000 TSH 12,500 TSH
Level 3 125,000 TSH 62,500 TSH
Level 4 250,000 TSH 125,000 TSH

Kumbuka, unaweza kufuzu kwenye level moja tu katika kila category, ambacho kitakuwa kiwango cha juu zaidi ulichofikia katika wiki hiyo. Kwa hiyo, lenga nafasi ya juu zaidi na ili kuongeza nafasi yako ya kushinda Bashiri za Bure.

Ofa ya Klabu ya Uaminifu ni kuanzia Jumatatu hadi Jumapili kila wiki. Bashiri za Bure zitaingizwa kwenye akaunti siku ya Jumatatu na utapokea pale utakapoingia/Login kwenye akaunti yako.

Jinsi ya Kutumia Bashiri yako ya bure:

 • Chagua Bashiri ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri ya bure’
 • Kima cha chini cha dau: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7

Kumbuka, Klabu yetu ya Uaminifu inalenga kuwazawadia wachezaji wetu waaminifu na wenye jitihada zaidi. Hii ni njia yetu ya kusema asante kwa kutuchagua sisi kama kampuni yako pendwa ya kubashiri. Hivyo, usikose fursa hii ya kipekee ya kushinda hadi bashiri 3 za bure kila wiki!

Jiunge na Klabu yetu ya Uaminifu wa Kubashiri leo ili kuingia kwenye ulimwengu wa fursa za kushinda. Bashiri na na Premier Bet na furahia zawadi ambazo hazijawahi kutokea!

 • Promotion hii inapatikana kwa wachezaji wote waliojisajili ambao wame opt-in kwenye promosheni na wanakidhi vigezo vya kufuzu vilivyowekwa katika Vigezo na Masharti haya.
 • Kwa kushiriki katika Promosheni, washiriki wanakubaliana na kukubali Vigezo na Masharti haya.
 • Promosheni hii itaanza tarehe 31/07/23 hadi 02/06/24. Promosheni ya Klabu ya Uaminifu inaendeshwa kuanzia Jumatatu hadi Jumapili kila wiki katika kipindi chote cha muda wa Promosheni.
 • Klabu ya Uaminifu inajumuisha category tatu: Category ya dau, Category ya idadi ya bashiri, na Category ya kubashiri kila siku. Washiriki wanaweza kufuzu kwenye kiwango kimoja katika kila category, ambacho kitakuwa ndio kiwango cha juu kilichopatikana kwa wiki nzima.
 • Katika category ya dau, washiriki lazima waweke dau kwenye bashiri kulingana na viwango vilivyoelezwa kwenye jedwali linalotolewa katika maelezo ya Promosheni ili kufuzu kupata zawadi ya bashiri ya bure inayoonyeshwa kwa kiwango hicho.
 • Katika category ya idadi ya bashiri, washiriki lazima waweke bashiri zisizopungua 10 ndani ya wiki nzima ikiwa na kiasi cha dau kinacholingana na viwango vilivyoelezwa kwenye jedwali linalotolewa katika maelezo ya Promosheni ili kufuzu kupata zawadi ya bashiri ya bure inayoonyeshwa kwenye kiwango hicho.
 • Katika category ya kubashiri kila siku, washiriki ni lazima waweke bashiri kila siku kwa wiki nzima kwa dau lisilopungua kiasi cha chini kwa kila siku kulingana na viwango vilivyoelezwa kwenye jedwali linalotolewa katika maelezo ya Promosheni ili kufuzu kupata zawadi ya bashiri ya Bure inayoonyeshwa kwenye kiwango hicho.
 • Zawadi za Bashiri ya Bure zinatofautiana kulingana na category na kiwango kilichopatikana. Zawadi za Bashiri ya Bure zitawekwa kwenye akaunti za walioshiriki siku ya Jumatatu ya kila wiki au ndani ya masaa 48.
 • Tuna Hifadhi haki ya kuthibitisha uhalali wa washiriki na tunaweza kuomba nyaraka husika za vitambulisho itakapo tulazimu.
 • Washiriki watakaobainika kukiuka Vigezo na Masharti haya au kushiriki katika tabia yoyote ya udanganyifu au ya kuvunja sheria watatolewa kwenye Promosheni.
 • Tuna Hifadhi haki ya kurekebisha, kusimamisha, au kufuta Promosheni wakati wowote bila taarifa ya awali.
 • Uamuzi wetu kuhusu vipengele vyote vya Promosheni, ikiwa ni pamoja na uhalali, zawadi za bashiri za bure, na kutolewa kwenye promosheni, ni wa mwisho na wenye nguvu zaidi.
 • Promosheni inaweza kutolewa vigezo na masharti ya ziada na inaweza kubadilishwa au kusahishwa kwa hiari yetu.
 • Kushiriki katika Promosheni hii kunamaanisha kukubaliana na Vigezo na Masharti haya.
Vigezo na Masharti ya Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtenga mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.