Exclusive Offer Exclusive Offer

Shinda safari ya VIP kwa ajili ya watu 2 kwenye uwanja wa San Siro kutazama mechi ya @ACMilan wakicheza live dhidi ya Verona tarehe 4 Juni!
Tuma video, ukielezea kwanini wewe ni shabiki wa AC Milans #1 kupitia ukurasa wetu rasmi wa Facebook, na nyota wa AC Milan Tomori, Origi, Kalulu & Vranckx watachagua mshindi.
Washindi watachaguliwa na wachezaji wa AC Milan na watatangazwa tarehe 22 Mei.

Step 1
✅ Like & Share post ya mashindano.
Bonus
Step 2
🎥 Tengeneza video ukielezea kwanini tukuchague wewe.
Cash Out
Step 3
💬 Tuma video yako kwenye komenti kutumia #1ACMILANFAN.
Cash Out

Kama Mshirika Rasmi wa AC Milan kwenye michezo ya kubashiri – Afrika, tuna shindano jingine la kipekee kwa ajili yako! Unaweza kujishinda safari ya VIP kwa ajili ya watu wawili kwenda San Siro, ambapo wewe na mgeni wako mtashuhudia mechi live ya AC Milan dhidi ya Verona katika mchezo wa mwisho wa msimu wa 22/23. Hii itajumuisha kukaa usiku 2 kwenye hoteli, ziara ya kutembelea makumbusho na viti maalum kwenye mechi.

Ni rahisi, shiriki kwenye mashindano kupitia ukurasa wetu wa Facebook na unaweza kujishindia safari hii utakayoikumbuka maisha yote!

Zawadi ya mshindi wa kwanza: Tiketi mbili za kutazama mechi ya AC Milan v Verona tarehe 4 Juni, pamoja na tiketi za ndege na hoteli kwa jaili ya malazi mjini Milan kwa usiku miwili.

Zawadi ya mshindi anaefuata: Bonasi ya Bashiri ya bure ya 48,000 TSH

Challenge ya #1ACMILANFAN itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 1 Mei hadi usiku wa Jumapili tarehe 21 Mei.

Nyota wa AC Milan Fikayo Tomori, Divock Origi, Pierre Kalulu & Aster Vranckx watachagua mshindi 1 kutoka kwenye washiriki wote.

Muda wa Promosheni
 • Challenge ya #1ACMILANFAN itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 1 Mei hadi usiku wa Jumapili tarehe 21 Mei.
 • Video yoyote ambayo itatumwa nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu haitofuzu kushiriki.
Safari & Tiketi – Zawadi
 • Mshindi atatangazwa siku ya Jumatatu tarehe 22 Mei 2022. .
 • Wachezaji wa AC Milan (kwa ambao watapatikana) watachagua mshindi mmoja 1 kutoka kwenye orodha iliyochujwa ambayo itatokana na washiriki waliotuma video zao.
 • Mshindi ni lazima awe na mchezaji wa Premier Bet aliethibitishwa na KYC, na tutaomba utume nambari ya utambulisho wa akaunti yako/PLAYER ID ili kushinda.
 • Mshindi ni lazima awe na hati ya kusafiria/passport iliyo hai na viza ili asafiri.
 • Mshindi atapatiwa:
  • Tiketi mbili za kutazama mechi ya AC Milan v Verona kwenye uwanja wa San Siro tarehe 4 June 2023.
  • Tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi daraja la economy (ikijumlisha kodi na usafiri) kwa ajili ya watu wawili kutoka nchini kwako hadi Milan, Italia, kwa tarehe 3 na 5 Juni 2023.
  • Malazi ya usiku miwili (2) kwenye hoteli ya nyota 3 mji wa Milan kuanzia tarehe 3 hadi 5 Juni 2023. Hoteli itatajwa na Premier Bet tutakapohakikisha upatikanaji wake.
  • €400 (€200 kila mmoja) itatolewa kwa wote ili kutumika kwenye chakula wakati wa safari.
 • Mshindi wa zawadi na atakaeamua kwenda nae ni lazima wawe na umri wa miaka 18 au zaidi, wawe na hati ya kusafiria ( passport) inayofanya kazi na wawe na afya nzuri inayoruhusu kusafiri bila usaidizi wowote. Mshindi ni lazima awe ni mchezaji wa Premier Bet aliethibitishwa na KYC.
 • Bima ya kusafiri, hati za kusafiria na viza (kama itahitajika) ni jukumu la wanaosafiri.
 • Mshindi wa zawadi ana jukumu la kugharamia gharama za ziada za usafiri zinazohusika na usafiri wa ndege kama malazi (kama itahitajika), usafiri, chakula, pesa ya kutumia, viza, bima na mahitaji/nyaraka nyingine.
 • Winners are responsible for any applicable local income taxes
 • Washindi watalipia makato ya kodi zote za ndani zitakazohitajika Kama mshindi hatoweza kusafiri, anaweza kupatiwa pesa taslimu kama ushindi wake ambayo itakua ni 1,200,000 TSH.
 • Mshindi atatafutwa kupitia kurasa wake wa Facebook ndani ya masaa 24 baada ya kufunga mashindano, kuandaa jinsi atakavyoipokea zawadi yake na kuthibitisha zawadi yake. Tafadhali hakikisha nambari ya simu uliyoiandika kwenye akaunti yako ipo sahihi.
 • Kama mshindi hatopatikana au kututafuta ndani ya masaa 72, tutabatilisha zawadi yake na kumpatia mbadala wa zawadi ya pesa taslimu.
 • Zawadi haziwezi kuhamishika na haziwezi kurudishwa, na hakutokua na ubadilishaji labda kama tutatangaza hapa.
Zawadi ya Mshindi anaefuata
 • Baada ya zoezi la kuchagua mshindi, tutachagua mshindi 1 anaefuata kujishindia hadi: 48,000 TSH kama bonasi ya bashiri ya bure Mshindi atatafutwa kwa njia ya Facebook ndani ya masaa 24 baada ya kukamilika kwa mashindano, utahitaji nambari ya utambulisho wa akaunti yako/PLAYER ID ili kupata bonasi yako ya bashiri yako ya bure. Bonasi ya bashiri ya bure itakua na masharti ya kuzungusha/ wagering requirements 1x. Bashiri zitakazowekwa kwa kutumia pesa ya bonasi ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 1.50 ili kuhesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
  • Baada ya zoezi la kuchagua mshindi, tutachagua mshindi 1 anaefuata kujishindia hadi: 48,000 TSH kama bonasi ya bashiri ya bure
 • Mshindi atatafutwa kwa njia ya Facebook ndani ya masaa 24 baada ya kukamilika kwa mashindano, utahitaji nambari ya utambulisho wa akaunti yako/PLAYER ID ili kupata bonasi yako ya bashiri yako ya bure.
 • Bonasi ya bashiri ya bure itakua na masharti ya kuzungusha/ wagering requirements 1x.
 • Bashiri zitakazowekwa kwa kutumia pesa ya bonasi ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 1.50 ili kuhesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
Jumla
 • Hii ni promosheni ya mitandao ya kijamii inayoendeshwa kwenye nchi mbali mbali na kurasa za Premier Bet za Facebook.
 • Kutakua na mshindi mmoja tu kutoka kwenye nchi zote zinazoshiriki.
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
 • Iwapo mshindi yeyote hatopatikana au hatojibu kwa wakati tutakapomtafuta ndani ya saa 72, tutabatilisha ushindi na tunaweza kuchagua mshindi mpya kwa hiari yetu.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.