Combi Insurance Combi Insurance

Shinda tiketi 2 za kwenda kutazama mechi ya AC Milan v Liverpool, San Siro siku ya tarehe 7 Disemba! Kwa kila bashiri limbikizi ya 2,350 TSH utakayoiweka kwenye Michezo, Vegas au Michezo Bunifu utapokea tiketi 1 ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio ya kujishindia zawadi ya tiketi.

PLAY NOW
Step 1
Weka bashiri
Sports
Step 2
Dau angalau 2,350 TSH
Bonus
Step 3
Shinda tiketi 2 kwenda kutazama mechi ya AC Milan
Money Bag
PLAY NOW

Kama Washirika rasmi wa AC Milan kwenye michezo ya kubashiri – Afrika, tumeandaa mashindano bomba kwa ajili yako! Unaweza kujishindia safari ya watu wawili ya kwenda Milan pamoja na tiketi za kwenda kuangalia mechi ya AC Milan LIVE! Ni rahisi, weka bashiri zako na unaweza kujishindia moja ya zawadi hizi:

 • Zawadi ya Kwanza: Tiketi mbili za kwenda kutazama mechi ya AC Milan v Liverpool tarehe 7 Disemba, ikiwa pamoja na usafiri wa ndege na malazi ya hotelini mkifika Milan kwa usiku miwili.
 • Zawadi za Washindi wanaofuata:
 • Mashati mawili (2) yaliyosainiwa kwa majina ya wachezaji akiwemo Ibrahimovic, Franck, Theo & Maldini
 • Mipira miwili (2) iliyosainiwa kwa majina ya wachezaji akiwemo Ibrahimovic, Franck, Theo & Maldini

Droo ya Milan Live itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 8 hadi Jumapili ya tarehe 28 Novemba.

Kwa kila 2,350 TSH itakayojilimbikiza kama dau lako kwenye bashiri ya michezo, au slots utapokea tiketi moja ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio. Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au mubashara, ikiwa na alama za jumla za angalau 1.20 ili kufuzu. Unaweza kujipatia tiketi mara nyingi uwezavyo – unavyopata tiketi nyingi zaidi ndivyo unavyozidi kuongeza nafasi yako ya kujishindia tiketi za kwenda kutazama AC Milan wakicheza Live! Droo itafanyika siku ya Jumatatu tarehe 29 Novemba.

Muda wa Promosheni
 • Droo ya Milan Live itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 8 Novemba 03:00 hadi Jumapili ya tarehe 28 Novemba 2021 02:59
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Kwa kila 2,350 TSH itakayojilimbikiza kama dau kwenye mchezo wowote, vegas au michezo bunifu, utapokea tiketi 1 ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio.
 • Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au wakati mechi inaendelea, na iwe na alama si chini ya 1.20. Ni bashiri zilizowekwa na kukamilika ndani ya muda wa promosheni ndizo zitakazo hesabika.
 • Unaweza kujipatia tiketi nyingi uwezavyo kwa ajili ya kushiriki kwenye droo ya zawadi.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo 10 iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika kwenye promosheni hii.
 • Bashiri za mfumo au Bashiri za Odds Boost hazitohesabika kwenye promosheni hii.
Zawadi ya Ticketi
 • Droo ya zawadi itafanyika siku ya Jumatatu tarehe 29 Disemba 2021.
 • Atachaguliwa mchezaji mmoja bila mpangilio atakaeshinda zawadi ya kwanza ya Droo ya Milan Live, itakayojumuisha:
  • Tiketi mbili za kutazama mechi ya AC Milan v Liverpool, San Siro siku ya tarehe 7 Disemba 2021
  • Tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi daraja la economy (ikijumlisha kodi na usafiri) kwa ajili ya watu wawili kutoka nchini kwako hadi Milan, Italia, kwa tarehe 6 na tarehe 8 Disemba.
  • Malazi ya usiku miwili (2) kwenye hoteli ya nyota 3 mji wa Milan kuanzia tarehe 6 hadi tarehe 6 na tarehe 8 Disemba 2021. Hoteli itatajwa na Premier Bet tutakapohakikisha upatikanaji wake.
 • Mshindi wa zawadi na atakaeamua kwenda nae ni lazima wawe na umri wa miaka 18 au zaidi, wawe na hati ya kusafiria ( passport) inayofanya kazi na wawe na afya nzuri inayoruhusu kusafiri bila usaidizi wowote.
 • Bima ya kusafiri, hati za kusafiria na viza (kama itahitajika) ni jukumu la wanaosafiri.
 • Mshindi wa zawadi anajukumu la kugharamia gharama za ziada za usafiri zinazohusika na usafiri wa ndege kama malazi (kama yatahitajika), usafiri, chakula, pesa ya kutumia, viza, bima na mahitaji/nyaraka nyingine.
 • Washindi watagharamia kodi zote za ndani zitakazohitajika
 • Kama mshindi hatoweza kusafiri, anaweza kupatiwa pesa taslimu kama ushindi wake jumla ya 7,050,000 TSH.
 • Mshindi wa kwanza atatafutwa kwa njia ya simu ndani ya masaa 72 tangu matokeo ya mwisho ya droo yalipotoka, kuandaa jinsi atakavyoipokea zawadi yake. Tafadhali hakikisha nambari ya simu uliyoiandika kwenye akaunti yako ipo sahihi.
 • Kama mshindi hatopatikana au kututafuta ndani ya masaa 72, tutafuta zawadi yake na zawadi ya pesa taslimu ndio itakayokuwepo.
 • Zawadi haziwezi kuhamishika na haziwezi kurudishwa, na hakutokua na ubadilishaji labda kama ni wa ndani.
Zawadi za washindi wanaofuata
 • Baada ya droo ya mshindi wa zawadi ya Tiketi, washindi wanne (4) tena watachaguliwa bila mpangilio kushinda moja ya zawadi hizi zifuatazo:
  • Mashati mawili (2) yaliyosainiwa kwa majina ya wachezaji akiwemo Ibrahimovic, Franck, Theo & Maldini
  • Mipira miwili (2) iliyosainiwa kwa majina ya wachezaji akiwemo Ibrahimovic, Franck, Theo & Maldini
 • Washindi watatafutwa kwa njia ya simu ndani ya masaa 72 tangu matokeo ya mwisho ya droo yalipotoka, kuandaa jinsi watakavyopokea zawadi zao. Tafadhali hakikisha nambari ya simu uliyoiandika kwenye akaunti yako ipo sahihi.
 • Kama washindi hawatopatikana au kututafuta ndani ya masaa 72, tutafuta zawadi zao na droo itarudiwa kutafuta washindi wengine.
 • Zawadi haziwezi kuhamishika na haziwezi kurudishwa, na hakutokua na ubadilishaji.
 • Jumla
  • Ofa hii ni ya mtandao kwenye nchi zote zinazoshiriki.
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.