Combi Insurance Combi Insurance

Kwa kukukaribisha Premier Bet, tunakupa nafasi ya kushinda moja ya jezi 3 za AC Milan zilizosainiwa. Unachotakiwa kufanya ni kusajili akaunti ya Premier Bet na utapata kiingilio cha kuingia moja kwa moja kwenye droo ya bila mpangilio. Ofa hii ni kwa wateja wapya pekee.

Jisajili SASA
Step 1
Jisajili na akaunti ya Premier Bet
Sports
Step 2
Pata kiingilio cha bure kushiriki kwenye droo
Bonus
Step 3
Shinda jezi ya AC Milan iliyosainiwa!
Money Bag
Jisajili SASA

Kama Washirika rasmi wa AC Milan kwenye michezo ya kubashiri – Afrika, Premier Bet tunakupa nafasi ya kujishindia jezi ya AC Milan iliyosainiwa – kwa kufungua tu akaunti mpya ya Premier Bet! Kila mchezaji mpya ambae atafungua akaunti hadi Jumapili atapata nafasi ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio.

Ofa ya AC Milan Giveaway itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 31 Januari hadi Jumapili ya tarehe 6 Februari.

Unapofungua akaunti utapata nafasi ya bure ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio. Kutakua na zawadi 3 za jezi zilizosainiwa kushindaniwa. Droo itafanyika siku ya Jumatatu tarehe 7 Februari, washindi watatafutwa kwa njia ya simu hivyo hakikisha taarifa zako za namba za mawasiliano zinakua sahihi unaposajili akaunti yako.

Muda wa Promosheni
 • Ofa ya AC Milan Giveaway itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 31 Januari 02:00 hadi Jumapili ya tarehe 7 Februari 01:59
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Wachezaji watakaofuzu
 • Ofa hii inapatikana kwa wachezaji wapya pekee ambao watasajili akaunti Premier Bet. Wachezaji waliokua wameshajisajili hawatofuzu kupokea ofa hii.
 • Utapata nafasi moja ya kuingia kwenye droo ya bila mpangilio unapojisajili na akaunti bure.
 • Kila mchezaji anaruhusiwa kushiriki mara moja tu kweye droo ya bila mpangilio.
Droo ya Zawadi
 • Kuna zawadi 3 za jezi za AC Milan zilizosainiwa.
 • Wachezaji watatu waliofuzu watachaguliwa bila mpangilio siku ya Jumatatu ya tarehe 7 Februari.
 • Washindi wote wa zawadi watajulishwa kwa njia ya simu ndani ya masaa 72 baada ya matokeo ya mwisho ya droo, ili kujua jinsi watakavyopokea zawadi zao. Tafadhali hakikisha kwamba namba ya simu uliojisajilia kwenye akaunti yako ipo sahihi.
 • Kama mshindi hatopatikana au kututafuta ndani ya masaa 72, ushindi wake utakua batili na zawadi itarudishwa kushindiniwa tena.
 • Zawadi haziwezi kuhamishika au kubadilishwa, na hakutakua na mbadala wa zawadi labda kama tutatangaza sisi.
 • Zawadi zitachukua hadi siku 30 kukufikia, na inaweza kuchukua muda mrefu zaidi.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.