Exclusive Offer Exclusive Offer

Pata rejesho la pesa kama mkeka wako utachanika kwenye muda wa ziada kwenye mechi za Fainali ya NBA.

Step 1
Weka bashiri kwenye mechi za fainali ya NBA
Bonus
Step 2
Mkeka umechanika kwenye muda wa nyongeza?
Cash Out
Step 3
Pata rejesho la dau lako kama pesa taslimu!
Cash Out

Weka bashiri kwenye soko la ashinde wa nyumbani au wa ugenini (2-Way market) kwenye mechi yoyote ya Fainali ya NBA na utapata rejesho la pesa yako kama mkeka wako utachanika kwenye muda wa nyongeza.

Ni bashiri za singles za kabla ya mechi pekee ndizo zitafuzu kwenye hii promosheni.

Rejesho la pesa litatolewa ndani ya masaa 48 baada ya mechi kukamilika.

Muda wa Promosheni:
 • Hii promosheni itaanza 07/06/23 hadi 19/06/23
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri ni lazima ziwekwe kwenye soko la ashinde wa nyumbani au ugenini (2-Way market).
 • Ni machaguo ya kabla ya mechi pekee ndio yatafuzu kwenye hii promosheni.
 • Ni bashiri za singles pekee ndizo zitahesabika kwenye hii promosheni.
 • Ni bashiri zilizopoteza pekee kwenye mechi zilizoenda hadi muda wa nyongeza ndizo zitahesabika kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Rejesho la Pesa
 • Bashiri yoyote iliyofuzu itakua cancelled na kiasi chote cha dau ulichoweka kitarudishwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
 • Wachezaji wenye bashiri zilizofuzu watapokea rejesho la pesa kwenye akaunti zao ndani ya masaa 48 baada ya kukamilika kwa mechi.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kwenye kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa..