Wazdan Cash Tournament Wazdan Cash Tournament

Ni muda wa kubahatika na siku 3 za cash drops ambapo unaweza kujishindia sehemu ya 7,950,000 TSH! Cheza moja ya michezo yetu 4 ya bahati yenye zawadi 200 za pesa taslimu zinazotolewa kila siku, ikiwemo zawadi kubwa ya 331,250 TSH ambayo inatolewa kwa mzunguko mmoja kadri uchezavyo! Ni rahisi, weka dau la angalau 530 TSH ili kuanza kushinda, na uendelee kuzungusha gurudumu kwa zawadi nyingi zaidi za pesa taslimu.

Step 1
Chagua mchezo wako wa slot
Casino
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Shinda zawadi ya cash drop!
Money Bag

Unaweza kujishindia sehemu ya 7,950,000 TSH kama Zawadi za Cash Drops kwa siku 3 zijazo! Cheza moja ya michezo 4 ya Slots kutoka michezo ya Wazdan na kadri unavyozidi kucheza unaweza kujishindia moja ya zawadi 200 za kila siku zinazotolewa bila mpangilio, unaweza kujishindia zaidi ya zawadi moja ya cash drop hivyo endelea kucheza na unaweza kushinda zaidi!

Promosheni ya Paddy’s Cash Drop itaanza Jumatano ya tarehe 16 hadi Ijumaa ya tarehe 18 March.

Cheza kwa dau la angalau 530 TSH kwa kila mzunguko kwenye moja ya michezo ifuatayo ili kujishindia zawadi za pesa taslimu. Hakuna ukomo wa zawadi za cash drops ambazo unaweza kujishindia, ni rahisi, cheza moja ya michezo hii au yote 4 kwa pamoja iliyoteuliwa na utapata zawadi kadri unavyozidi kucheza kuanzia 6,625 TSHhadi 331,250 TSH

Endelea kuzungusha ili kushinda zawadi za bila mpangilio za cash drops kwenye michezo ifuatayo

Play any game!

Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya Paddy’s Cash Drop itaanza kuanzia Jumatano ya tarehe 16 Machi 2021 00:00 hadi Ijumaa ya tarehe 18 Machi 2022 23:59.
  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Cash Drop
  • Dau la chini kabisa ili kufuzu kwa kila mzunguko ni 530 TSH.
  • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu zinatakiwa ziwekwe kwenye moja ya michezo 4 ifuatayo kutoka Wazdan: Clover Lady, Larry the Leprechaun, Unicorn Reels, Lucky Fortune.
  • Ili kushiriki kwenye Kampeni, wachezaji wanatakiwa kutumia real mode na kwenye michezo inayoshiriki ndani ya muda wa promosheni. Wachezaji wanaoshiriki wataingia moja kwa moja kwenye promosheni baada ya kuweka bashiri kwenye mchezo wowote unaoshiriki.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri za pesa ya bonasi hazitohesabika).
  • Kuna zawadi 600 za cash drop, zenye jumla ya thamani ya 7,950,000 TSH, ikiwa na 2,650,000 TSH itakayotolewa kama zawadi za cash drop kila siku ndani ya muda wa promosheni kama ifuatavyo:
  • Cash Drop Number Total
    132,500 TSH 1 50
    26,500 TSH 10 100
    2,650 TSH 1000 100
    265 TSH 500 250
  • Wachezaji wanaweza kushinda zaidi ya zawadi moja ya pesa taslimu ndani ya muda wa kampeni.
  • Wachezaji ni lazima waingie kwenye kampeni ili kufuzu kupokea zawadi.
  • Bashiri yoyote itakayowekwa kwenye michezo inayoshiriki na kufuzu ndani ya muda wa kampeni itaweza kupokea zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla.
  • Bashiri itakayofuzu inaweza kupokea zawadi moja tu. Zawadi zitatolewa bila mpangilio ndani ya muda wa promosheni. Zawadi zitalipwa kupitia RNG
  • Ni zawadi moja tu kati ya zawadi tatu za juu kabisa itatolewa ndani ya muda sawa na 5 % ya fainali ndani ya muda wa promosheni.
  • Kima cha chini cha dau kinachohitajika ili kushiriki ni 530 TSH au, kama dau hilo halipo, itachukuliwa bashiri yenye dau kubwa zaidi kwenye mchezo. Dau zote za bashiri zinapatikana kwenye mchezo “Bashiri zilizofuzu”.
  • Idadi ya zawadi ambazo zipo huwa inabadilika papo hapo.
  • Zawadi zote zitalipwa papo hapo kwenye akaunti za wachezaji muda huo huo unapopata ujumbe wa ushindi wako.
  • Zawadi zitatolewa kama zinavyoonekana kwenye jedwali la zawadi ya jumla
  • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada (0x wagering), na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zitakazolipwa kwa kutumia pesa ya bonasi zitalipwa kama pesa ya bonasi.
  • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwa sarafu ambayo bashiri ya ushindi ilitumika kuwekea, kulingana na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa sarafu kutoka Euro muda ule ambao bashiri imewekwa.
Jumla
  • Hii ni ofa ya mtandaoni kwenye tovuti zote zinazoshiriki
  • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye mashindano haya vipo kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.